14/09/2022
Mmoja mwandishi wa Habari bora kwangu ni
⏭️ Best interviewer( kamsikilize akimhoji onyango mtanielewa)
⏭️ Mtangazaji bora wa mpira live- rudieni clips za mechi alizotangaza- tutaelewana
⏭️ Best presenter
Kwa ujumla tu amekamilika sana katika idara ya uandishi wa habari.
😒 Wengine wanakuwa na upande mmoja ila huyu ni kiboko.
Kila la kheri bro.
Hii ni hazina kwa kweli.