Bagamoyo Community Capacity Empowerment and Education - BCCEE

Bagamoyo Community Capacity Empowerment and Education - BCCEE Page hii inahusu Mambo mbalimbali ya kijamii Kama vile masuala ya msaada wa Kisheria

24/12/2025
Mkurugenzi wa Bccee akiwa  kwenye kikao na idara ya sheria ya halmashauri ya mji Bagamoyo lengo la kikao ni konana namba...
24/12/2025

Mkurugenzi wa Bccee akiwa kwenye kikao na idara ya sheria ya halmashauri ya mji Bagamoyo lengo la kikao ni konana namba Bora ya kuihudumia jamii ya mji wa Bagamoyo kwa kuangalia mipango kazi ya taasisi binafsi k**a inaendenda na mipango ya halmashauri tunashukuru sana idara ya sheria ikiongozwa na mr Hemedi

Mkurugenzi mtendaji wa Bccee akitoa alimu ya makuzi na malezi . Na masuala ya ukatili yanayowakabili watoto na wanawak. ...
24/10/2025

Mkurugenzi mtendaji wa Bccee akitoa alimu ya makuzi na malezi . Na masuala ya ukatili yanayowakabili watoto na wanawak. Elimu hiyo imetokewa tarehe 22/10/2025 kwenye jukwaa la uwezashwaji uchumi lililopo kitongoji Cha kimarang'ombe Kata ya Nianjema wilaya Bagamoyo

04/09/2025
K**ati za mtakuwa kata ya Dunda, Magomeni na Nianjema zikijengewa uwezo katika masuala ya ukatili wa kijinsia kupitia mr...
04/09/2025

K**ati za mtakuwa kata ya Dunda, Magomeni na Nianjema zikijengewa uwezo katika masuala ya ukatili wa kijinsia kupitia mradi wa SAUTI YA MWANAMKE unafadhiliwa European Union na Enabel kupitia Lsf Muwezeshaji bi Judithi Mayunga amewasilisha mada mbalimbali za ukatili wa kijinsia kwa muda wa siku mbili na washiriki wemepata fursa ya kuchangia mada na kuweka mikakati ya kupunguza vitendo vya ukatili kwa kuandaa mpango kazi kwa Kila kata mafunzo hayo yaemfanyika tarehe 13-14/8/2025

Tot Mr Saidi Mnukwa atembelea bccee lengo la matembezi hayo ni kuona namna ya utekelezaji wa sauti ya mwanamke ambao una...
02/09/2025

Tot Mr Saidi Mnukwa atembelea bccee lengo la matembezi hayo ni kuona namna ya utekelezaji wa sauti ya mwanamke ambao unafadhiliwa na enabel na european union ziara ilifanyika tarehe 29/8/2025

31/07/2025

Address

Bagamoyo
Bagamoyo

Telephone

+255719047125

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bagamoyo Community Capacity Empowerment and Education - BCCEE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share