Ushirika wa Diakonia Faraja

Ushirika wa Diakonia Faraja Center for Prepare young men to become Deacon

Wanafunzi wa Kituo Cha Tumaini Center Karansi wameweza kuanzisha Bustani ambapo wamepanda mboga aina ya Mnafu, sukuma wi...
17/11/2022

Wanafunzi wa Kituo Cha Tumaini Center Karansi wameweza kuanzisha Bustani ambapo wamepanda mboga aina ya Mnafu, sukuma wiki, na chainizi.

hii wanafunzi wapya wa Mafunzo ya Udiakonia wamekuja kuwasaidia kutengeneza matuta ya vitunguu.

hizi wanazitumia katika mlo wao kwaajili ya kupata Afya. Na kiasi kidogo wanajifunza kuuza na kupata kiasi cha fedha Kwa mahitaji Yao. Na kituo Kwa ujumla.

wenye mboga za majani huleta Afya Bora

Tunashukuru sana shirika la  na  Kwa kuwawezesha wheelchair Watoto toka kituo Cha  . Mtoto Godson sasa anweza kuhudhuria...
12/11/2022

Tunashukuru sana shirika la na Kwa kuwawezesha wheelchair Watoto toka kituo Cha . Mtoto Godson sasa anweza kuhudhuria Shule baada ya kukosa kifaa tiba pia kitakachomwezesha kusafiri kuja shuleni.

Wapendwa nawasalimu wote Katika Jina kuu la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Kwa masikitiko Makubwa Naleta kwenu taarifa ya kuo...
07/11/2022

Wapendwa nawasalimu wote Katika Jina kuu la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Kwa masikitiko Makubwa Naleta kwenu taarifa ya kuondokewa na Mama Mzazi wa Kaka yetu Md Richard A. Mmbaga. Msiba umetokea usiku wa kuamkia Leo Hospitali ya Nkuaranga Meru.

Tuungane na Familia ya Kaka Yetu kwa Maneno ya Mtume Paulo kwa Timotheo akituambia
"2 Timotheo 4:7-8
[7]Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda;
[8]baada ya hayo nimewekewa taji ya haki, ambayo Bwana, mhukumu mwenye haki, atanipa siku ile; wala si mimi tu, bali na watu wote pia waliopenda kufunuliwa kwake". Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana libarikiwe. Mipango na utaratibu mwingine tutajulishana naomba tuendelee kuiweka familia yake mikononi mwa Mungu. Poleni sana na Mungu atutie nguvu katika kuyapokea mapenzi yake.

Md. Goodluck Nnko
Kaka Mkuu UDF

Leo tarehe 06.11.2022 Ni siku maalum Kwa Mchungaji Sifuel Ona Macha katika Usharika wa Shia Mtaa wa Mamrosa kwani ni sik...
06/11/2022

Leo tarehe 06.11.2022 Ni siku maalum Kwa Mchungaji Sifuel Ona Macha katika Usharika wa Shia Mtaa wa Mamrosa kwani ni siku ya KUSTAAFU KWA HESHIMA kwake. Mchungaji huyu amewahi kuwa MKURUGENZI katika Ushirika wetu wa Diakonia Faraja mwaka 2003 - 2006. Kwa niaba ya wadiakonia na Ushirika wote, Kaka Mkuu anamshukuru Mungu Kwa utumishi mwema wa Mchungaji Macha. Mungu aendelee kuwa pamoja naye na familia yake katika Muda huu wa Kustaafu kwake.

Ushirika wa Diakonia Faraja tumepokea Kwa Masikitiko Kifo Cha Bibi Joann Tolmie. Bibi Joann Tolmie ni mwanzilishi mwenza...
29/10/2022

Ushirika wa Diakonia Faraja tumepokea Kwa Masikitiko Kifo Cha Bibi Joann Tolmie. Bibi Joann Tolmie ni mwanzilishi mwenza wa Shule ya Msingi Maalum Kwa Watoto Kwenye Ulemavu wa Viungo.. Mungu ailaze Roho ya Marehemu Bibi Mahali Pema peponi. Amen. Poleni Familia yote, ndugu jamaa na marafiki.

Kaka Elibariki Shilla Ushirika unakutakia safari njema na Huduma njema.   wa Mungu uende pamoja nawe
01/10/2022

Kaka Elibariki Shilla Ushirika unakutakia safari njema na Huduma njema. wa Mungu uende pamoja nawe

21/09/2022
18/09/2022

Enjoy mziki wa gitaa mzuri kutoka Kwa Mwanafunzi wa udiakonia David na Dada Pauline.. wakati unasikiliza usisahu kuomba kwaajili ya David ambaye yupo kitandani kwaajili ya Mguu wake uliofanyiwa matibabu siku chache zilizopita. ....

Address

167 Sanya Juu
Kilimanjaro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ushirika wa Diakonia Faraja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Ushirika wa Diakonia Faraja:

Shortcuts

Share