NijuzeOnline - Swahili Learners

NijuzeOnline - Swahili Learners � Karibu NijuzeOnline - Swahili Learners! Tunatoa masomo bora ya Kwa Lugha ya Kiswahili.

🇹🇿Je, unajua kuwa kuelewa tulipotoka ndiyo siri ya kujua tunapoelekea? Somo la Historia ya Tanzania na Maadili kwa Kidat...
26/03/2026

🇹🇿
Je, unajua kuwa kuelewa tulipotoka ndiyo siri ya kujua tunapoelekea? Somo la Historia ya Tanzania na Maadili kwa Kidato cha Kwanza linatufundisha chimbuko letu, mashujaa wetu, na tunu zinazotunganisha k**a Taifa.
Ni zaidi ya somo—ni mwongozo wa kuwa raia mwema na mwenye uchungu na nchi yake. Tuwaandae vijana wetu kuwa na maadili mema!

Address

Kiembe Samaki
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NijuzeOnline - Swahili Learners posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share