Issa Nassoro

Issa Nassoro

Share

Mafunzo ya Elimu museto

08/11/2025

SHUKRANI INAMANA KUBWA KTK MAISHAYAKO USIACHE KUSEMA SHUKRANI KWA JAMBO LOLOTE LINA NGUVU USIYOIJUWA

18/10/2025

Hello guys mambo. Hivi umewahi kujiuliza kwa upana FAIDA NA MAANA YENYE MASHIKO ya maneno UHAI NA UZIMA? PAMOJA NA AFYA BORA.. hivi ni vitu nyenye thamani zaidi kuliko chochote unachokijuwa dunia hii. JE UNAKUBALIANA NAMI? AU Unahojayako?. Ni kwamba huu ndio utajiri kuliko chochote. Bila ya UHAI huwezi KUISHI . Na bila UZIMA huwezi fanya lolote unaweza kuwa mzima lakini afya mbovu unaumwa. Kwahiyo pia lazima uwe mZIMA tena MZIMA WA AFYA. Kwahiyo my friends huu ndio utajiri bora Namba moja ukiwa na mambo haya matatu UHAI,UZIMA NA AFYA BORA yako vizuri hakika utakuwa mshindi milele . Mana baada ya haya yanayobakia mali n.k yatakuja yenyewe kwa juhudizako pamoja na duwa kwa MOLAWAKO. OK jamani muwe na JIONI NJEMA.

18/10/2025

Habari zenu wapendwa , hebu leo tugusie viunga vya SIASA .uchaguzii ni jambo la misingi na kidemokrasia. Lakini ikiwa nchi imetawaliwa na ufisadi,rushwa, dhuruma ,uonevu au uvunjifu wa haki za binadam. Basi hakuna haja ya kupiga kura .kuchaguwa Rais mana unapoenda kupiga kura katika mazingira haya sawa na mtu anaye saidia na kuongeza nguvu katika kulinyonya taifa. ILa unaweza tu kutekeleza hiyo haki ya kupiga kura endapo k**a hakuna mambo k**a hayo . MIE sikuzuii wala kukushauri usipige kura hiyo ni hiyariyako unaweza kwenda kupigakura ni sawa , Lakini je ULIYEMCHAGUWA ATATIMIZA MATAKWA YAKO? Au umeweka mtu kushibisha tumbolake na KUSAIDIA NDUGUZAKE hilo swali lako

Issa Nassoro Mafunzo ya Elimu museto

Want your school to be the top-listed School/college in Zanzibar?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Mbweni
Zanzibar
0