06/03/2026
.........................,.........................................................
*Reactions / Feedback:*
*๐ Like:* K**a umependa lesson hii
*โค๏ธ Love:* K**a umejifunza expressions mpya
*๐ฎ Wow:* K**a lesson hii imekusaidia kuji-confidence zaidi
*Usisahau subscribe kwenye YouTube channel yangu โ ENGLISH SAFI ONLINE...ili kupata lessons zaidi*
04/03/2026
ENGLISH SAFI ONLINE | TV โ WhatsApp channel
Follow ENGLISH SAFI ONLINE | TV's WhatsApp channel. *English Safi Online | Global TV*
๐๐๐
*English Safi Online | Global TV* ni kituo rasmi cha kusambaza video za mafunzo ya Kiingereza kwa hadhira ya kimataifa. Hapa tunakuletea vipindi vya kitaalamu vilivyotayarishwa kwa ubora wa hali ya juu, vikilenga matumizi ya Kiingereza katika maisha halisi โ kazini, shuleni, safarini na kwenye mawasiliano ya kila siku.
Channel hii ni daraja linalokuunganisha moja kwa moja na masomo yetu ya YouTube, likikupa ufikiaji wa maudhui mapya, yaliyopangwa kwa utaratibu wa kitaaluma na yanayokidhi viwango vya mafunzo ya mwaka 2026. Lengo letu ni kujenga kizazi kinachoweza kuzungumza Kiingereza kwa ujasiri, usahihi na weledi wa kimataifa.
*English Safi Online โ Fluent English Starts Here.*. Join 2.4K followers for the latest updates.
03/03/2026
How to Speak English at the Market | Jifunze Kuuliza Bei na Kupata Punguzo kwa English
Unataka kuongea English sokoni bila kuogopa kuuliza bei? Katika Lesson 15 ya English Safi Online, utajifunza sentensi muhimu za kutumia unapokwenda sokoni au...
28/02/2026
How to Speak English at the Hospital | Jifunze Kiingereza cha Hospitali kwa Ujasiri
Unataka kuongea English hospitalini bila kuogopa? Katika Lesson 14 ya English Safi Online, utajifunza sentensi muhimu za kutumia unapokwenda hospitali, kuong...
27/02/2026
Making Phone Calls in English ๐ | Jinsi ya Kuongea English Kwenye Simu kwa Confidence
Unataka kuongea English kwa ujasiri unapopiga au kupokea simu? ๐Lesson 11 ya English Safi Online inakufundisha sentensi muhimu zinazotumika kwenye mawasilia...
23/02/2026
How to Ask for Directions in English Easily | Njia Rahisi ya Kuuliza Njia Kwa Kiingereza
Kwenye somo hili utajifunza Asking for Directions in English kwa kutumia sentensi rahisi, mazungumzo halisi, na matamshi ya natural English yanayotumika kila...
22/02/2026
Ongea English Ukiwa Restaurant Bila Presha | Sentensi Muhimu za Ku-Order Chakula Haraka
Unataka kuongea Kiingereza ukiwa restaurant bila kuogopa? ๐ฝ๏ธKwenye somo hili la English Safi Online, utajifunza sentensi halisi zinazotumika ku-order chakul...
20/02/2026
Stop Saying I Am Coming ๐ซ | Correct English for Real Life #Shorts
Unapochelewa na mtu anakusubiri โ je unasema I am coming? โHilo ni kosa ambalo wanafunzi wengi wa English hufanya kila siku. Kwenye YouTube Short hii utajifu...
19/02/2026
Jifunze Kuagiza Chakula kwa Kiingereza Kirahisi | Restaurant English Conversation
Je, unataka kuongea English kwa ujasiri ukiwa restaurant au hotelini? ๐ฝ๏ธKwenye somo hili la English Safi Online โ Utajifunza maneno na sentensi halisi zinaz...