27/07/2025
SISI NI ZACCA.
Katika kuadhimisha siku ya Uhifadhi wa Mikoko Duniani.
Afisa Saikolojia na Afya ya Akili Md. Sauda Akiambatana na Afisa Mazingira Md. Saada waliweza kuhudhuria urejeshaji wa mikoko na usafishaji wa taka taka katika kijiji cha Fujoni, Zanzibar.
Takribani ya robo tani ya taka za aina mbali mbali ikijumuisha asilimia 25 ya taka za plastics ziliweza kukusanywa.
Aidha mbegu za miche ya mikoko zisizopungua 5000 ziliweza kupandwa.
Utunzaji wa mazingira ni jukumu letu sote,tushirikiane na kujumuisha nguvu za pamoja katika kuyahifadhi na kuyatunza.
Going Greener together.
18/07/2025