19/01/2026
Habari zenu ndugu jamaa na marafiki. Hakika Al-mannur ni shule bora na ya kujitegemea. Hivyo bc mbele tunasonga nyuma mwiko . Almannur ni yetu na hakika itaendlea kuwa ya kwetu.Tunajipongeza kwa hili kufanikisha vyema na kufanya vizur katika kila hatua ya masomo yetu . Tunashkur kwa hili na allah(s.w) atuongoze katoa kila hatua .
Kwa mahitaji zaidi tunawakaribisha katika skuli yetu ya AL- MANNUR ISLAMIC SCHOOL iliyokuwepo njia ya kuelekea Fimba.
Yuu Fy Docta Foum Khadija Viwanja Hamdan Bin Mohammed Bin Rashid Al Maktoum | Fazza Salmin Juma Safia Othman International Fund for Agricultural Development (IFAD) Samson Mikilaudi Ma'aikatar Hajji da Umrah ta Saudiyya Ummy Cafe