Mbeya Wa Zanzibar

Mbeya Wa Zanzibar

Share

Pata habari motomoto

10/11/2025

MAISHA YA MANGE MAREKANI VS MAISHA YA SASA YA WATANZANIA.

07/11/2025

WAKENYA🇰🇪 WAWAKATAA WATANZANIA 🇹🇿.

Wakenya washangazwa na mambo ya ajabu yalofanywa na Watanzania kuharibu miundo mbinu na Amani iliyo dumu kwa miaka mingi.

Watu maarufu kutoka kenya wamepaza sauti zao na kuwakosoa vikali wavunjifu wa Amani na kuwataka watunze Amani na miundombinu ya Tanzania.

Walowashauri ndio wanaowakataa!! Kijana tafakari chukua hatua kwa kulinda Amani ya Taifa letu kwa maslahi mapana ya vizazi vyetu.

06/11/2025

MAISHA YA WATOTO WA MANGE MAREKANI🇱🇷 DHIDI YA MAISHA YA WATANZANIA🇹🇿 BAADA YA MAANDAMANO.

Muhamasishaji wa Fujo Tanzania MANGEKIMAMBI akionekana aki trend kwenye mitandao ya kijamii baada ya ushawishi wa machafuko Nchi Tanzania.

Haya ndo maisha ya Watoto wa Mange Marekani waki enjoy maisha na hayo mengine ndo maisha ya Watanzania baada ya Mange kuhamasisha Vurugu Tanzania.

Watoto wetu wanahaki ya ku enjoy maisha kwa amani na utulivu k**a wanavyo enjoy watoto wa Mange Marekani.

Chukua hatua kulinda Amani yetu na kumkataa Mange.

05/11/2025

MANGEKIMABI YUKO BIZE NA WANAWE NA SIO WATANZANIA🇹🇿.

Baada ya kuhamasisha vuruga zilopelekea kuharibu miundombinu ya usafiri kwa kuchomwa moto kwa Mwendokasi na kupelekea Watanzania kuzama kwenye shida na dhiki ya usafiri hatimae Mange awakataa watanzania kwakuonesha namna anavyo Enjoy na kula bata na wanawe Marekani.

Watanzania🇹🇿 ni wakati wa kumkataa Mange na kuungana kuijenga Taifa letu na kudumisha Amani ambayo ndo urithi wetu🇹🇿🇹🇿

04/11/2025
29/10/2025

OMO ABANANISHWA NA ZEC KWA UONGO WAKE.

28/10/2025

WAZEE WA PEMBA WAMJIA JUUA OMO.

26/10/2025

MPASHUKO WA OMO NA VIONGOZI WENZAKE WA ACT WADHIHIRIKA MKUTANONI.

25/10/2025

WANANCHI WA ZANZIBAR WAMSUTA BIMANI.

Kwenye Hali isiyo ya kawaida wananchi wamemsuta Katibu mwenenzi wa ACT Wazalendo ndugu Bimani kwa uongo wake wa wazi kqa wananchi.

Twambie wadau wetu!! Je hii ni ishara ya kufilisika hoja kwa Act wazalendo ?

24/10/2025

ACT WAZALENDO WAKUBALI KUMPA MWINYI MITANO TENA.

Wafuasi na wanachama wa Act wazalendo wameungapa pamoja bila ya kujali itikadi zao za kisiasa na kumpa kura za wingi Dk Hussein Ali Mwinyi.

Twambie mdau wetu!!! Hii ishara inamaana gani ?!?!

23/10/2025

MASHEIKH PEMBA WAMFUNZA ADABU OMO KUTOMTUKANA KIONGOZI WAKE.

Leo hii kwa mara nyengine tena Masheikh Pemba wampa ukweli OMO na kumfunza adabu juu ya tabia ya kumtukana na kumdhihaki kiongozi wake.

Twambie mdau wetu!! Viongozi wa Dini kumkataa OMO ni ishara ya anguko kubwa kwenye uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 ?!?!?!?

22/10/2025

VIJANA WA KIZANZIBAR WAMUAMSHA OMO MAANA KITUO CHAKE AMEFIKA.

Je ni kweli mwaka huu ndo mwisho wake qa kuwa makamo wa Raisa wa Zanzibar?!?!?

Want your school to be the top-listed School/college in Zanzibar?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Zanzibar
Zanzibar