02/06/2023
Fiorentina_combain ya kisauni
Ni team ya jamii nzima ambayo ipo kwa ajili ya kusaidia jamii katika shughuli mbali mbali ikiwemo kutoa misaada kwa mayatima na watu wasio jiweza kwa ujumla kwa kupitia michezo. tunakaribisha mfadhili yoyote yule ambae yupo tayar wa ajil ya kusaidia ili kusaidia jamii.
Saidia tukusaidie.