Apply now for 2026 intake
Leave your worries behind
Siraj Company Limited
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Siraj Company Limited, Educational consultant, Kijangwani Street Posta Building First floor room number 11, Zanzibar.
22/02/2026
Ramadan Kareem
22/07/2024
Habari, Mwanafunzi
Tunapenda kukumbusha kuwa ufadhili wa masomo katika vyuo vikuu vilivyopo nje ya nchi bado uanendelea. Katika nhi mbalimbali zikiwemo
Malaysia
India
Cyprus
Turkey
Russia
N.k
Mwanafunzi atapata hadi asilimia 80% ya ufadhili katika ada na malazi.
Hakuna malipo ya service fee
Fika sasa ofisini kwetu leo ukiwa na documents zako kufanya maombi
๐Jengo la Posta Kijangwani ghorofa ya kwanza chumba namba 11 - Zanzibar
๐ฒ0684840893 au 0713548263
Wahi sasa nafasi ni chache
07/06/2024
SIRAJ COMPANY LIMITED
Tunapenda kuwatangazia kuwa kuna fursa za masomo nchini India kwa gharama nafuu sana
Level ya Degree tu
Radiology - 825USD
Anesthesia - 825USD
Optometry - 825USD
Medical laboratory - 825USD
Renal dialysis - 825USD
Pharmacy - 988USD
Microbiology - 625USD
Food science and technology - 625USD
Biotechnology - 625USD
Nursing - 750USD
Physiotherapy - 1200USD
Gharama ya kulala na chakula kwa mwezi ni 100USD
Hakuna malipo ya ziada utakayotakiwa kulipa
Nafasi ni 20 tu na mwisho wa maombi ni 15/07/2024
Fika sasa ofisini kwetu Jengo la Posta Kijangwani ghorofa ya kwanza chumba namba 11
Tupigie 0684840893 au 0713548263
Nyote mnakaribishwa
01/05/2024
02/04/2024
Hello April
Mwanafunzi huu ndo mwezi wako wa kupata ufadhili wa masomo katika nchi uipendayo na kozi uitakayo
Kwetu utapata
Ushauri bure
Utasaidiwa kuombewa chuo bure
Utasaidiwa kuombewa VISA buree
N.K
Fika ofisini kwetu Zanzibar, Jengo la Posta Kijangwani Ghorofa ya kwanza chumba namba 11
Tupigie simu: 0684 840 893 au 0713548263
24/03/2024
Ewe mwanafunzi unasubiri nini kwenda kusoma nje ya nchi?
Fika ofisini kwetu upate ushauri wa kozi gani ya kusoma lakini pia kujua ni nchi gani salama kwako kusoma.
KUMBUKA hakuna malipo ya ziada utakayolipia na huduma zetu ni bure kabisa
Usikubali kupitwa na ofa hii
Ofisi zetu zipo: Zanzibar jengo la Posta Kijangwani, Ghorofa ya kwanza chumba namba 11
Tupigie simu: 0684840893 au 0713548263
19/02/2024
Ewe mwanafunzi unasubiri nini?๐ค
Je wajua kuwa mwaka 2024 ndio mwaka wa kutimiza ndoto zako za kusoma nje ya nchi katika chuo upendacho na kozi uipendayo?๐
SIRAJ COMPANY LIMITED inapenda kukutaarifu kuwa udahili wa ufadhili wa masomo bado unaendelea na mwanafunzi unaweza kupata hadi 80%.โบ๏ธ
Uwe umemaliza kidato cha nne au Diploma au Degree wakati ndo huu wa kusoma nje ya nchi kwa gharama nafuu zaidi.
Kwetu:-
Utapata ushauri wa kozi ๐
Utasaidiwa kuomba chuo๐
Utasaidiwa kuomba visa bure๐
N.K ๐
Vilevile hautokuwa na gharama za ziada za kulipia
Fika sasa ofisini kwetu Zanzibar
๐Jengo la Posta Kijangwani, Ghorofa ya kwanza chumba namba 11
๐ฒ 0684840893 au 0713548263
Leave your worries behind
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
Zanzibar
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |
| Saturday | 08:00 - 17:00 |
| Sunday | 08:00 - 02:00 |