Sufa Schools

Sufa Schools

Share

SUFA Schools started in 1997 by the proprietor Madam Fatma Salum Abdalla and it comprises of Nursery

Photos from Sufa Schools's post 14/12/2022

2023 ADMISSION IS OPEN

04/02/2022

WANAFUNZI WAKIWA KATIKA CLUB YA DRUG AND DRUG ABUSE
.sufaschools.ac.tz

03/02/2022

SUFA SCHOOLS
✅It comprises of Nursery, Primary, and Secondary school , for the day and Boarding students
✅Location: the schools are located in Zanzibar Urban West at Tomondo shehia
✅Contacts:
*calls: 0777417155/
0769774865
* Whatsapp: 077417155
* Instagram:sufaschools
*E-mail [email protected]
*Website:
www.sufaschools.ac.tz/
Quality Education is our compass

Photos from Sufa Schools's post 12/03/2021

Sufa schools inafundisha masomo ya science, arts, biashara ict, inafundisha kwa vitendo inatoa laptop bure kwa kila mwanafunzi kwa ajili ya kusomea kuanzia nursary hadi secondary shule nzima

30/04/2020

Je wanafunzi ambao sio wa Skuli ya Sufa wanafaidikaje?
Sufa skuli pia ipo kwa ajili yao.
Kupitia mfumo wa Sufa Mwanafunzi ambae sio wa Sufa anaweza kujisajili na kufaidika kwa ada ya shilling 100,000 kwa muda wote ambo shule zimefungwa. Ada hii ni kwa ajili ya kumuezesha mwanafunzi aweze kujiunga na masomo , yani live studies, class notes, au kupata home packages nk. Mzazi atalipa ada hiyo kupitia account namba ya sufa au kupitia mtandao wa Simu. Na hela ikishapokelewa mfumo utafunguka kumruhusu mwanafunzi husika.
Kwa kipindi hiki, Sufa Skuli ipo kwa ajili yako ili kuweza kuleta msaada wetu kwa mtoto wako, na ni imani yetu kua itasaidia sana.
Jinsi ya kujiunga:
Ingia https://sufaschools.fedena.com/register kwa msaada zaidi wasiliana (0777417155/0769774865) kwa maelezo zaidi.

Fedena 30/04/2020

Fedena

Photos from Sufa Schools's post 30/04/2020

SUFA ONLINE

30/04/2020

Fanya usajili sasa usome online

Photos from Sufa Schools's post 29/04/2020

Fanya usajili Sufa Schools ili usome ukiwa nyumbani kwa kupitia online.

23/04/2020

[23/04, 12:25 PM] Emma: A.alykum ndugu wazazi.
Tunashukuru kwa ushirikiano mnaoendelea kutupatia katika kuhakikisha watoto wetu wanapata masomo huko huko nyumban walipo.

Sufa school tunatambua kuwa kuna wazazi ambao mna watoto wengine ambao HAWASOMI skuli ya Sufa....na kwa kipindi hiki wanakosa huduma za masomo.

Sufa school tumeandaa utaratibu utakao wasaidia watoto wetu wote pamoja na wale ambao hawasomi Sufa.

Kwa kuwa ili mwanafunzi apate masomo ( Assignments, Exams na Classes) humlazimu awe na namba ya usajili ya SUFA inayomwezesha kuingia kwenye mfumo.

Tumeandaa utaratibu utakao mwezesha mwanafunzi kujisajili ONLINE ili apate hiyo namba itakayomwezesha kuingia kwenye mfumo.

Mwanafunzi akisha jisajili ataweza kupata kazi mbalimbali na masomo kwa ujumla katika kipindi hichi chote watakapokuwa nyumbani k**a wanafunzi wengine wa Sufa.
[23/04, 12:27 PM] Emma: Namna ya kujisajili online tutawafahamisha vizuri.
[23/04, 12:28 PM] Emma: Gharama ya kujisajili I'll li kupata huduma zote kwa KIPINDI CHOTE ni Tsh 50 000/= tu.

Want your school to be the top-listed School/college in Zanzibar?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address

P. O. BOX 1811
Zanzibar