18/11/2023
Tumeanza kuandikisha wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo 2024 kwa ngazi za :-
- MAANDALIZI (NURSERY)
- MSINGI (PRIMARY)
- SEKONDARI (SECONDARY)
MADRASA NI BURE KWA WANAFUNZI WOTE.
TUPO MBWENI MATREKTA NYUMA YA CCM BRUCH MBWENI.
KWA MAWASILIANO TAFADHALI TUPIGIE SIMU NAMBA 0774770183/071772666
22/10/2023
Michezo na burudani ni sehemu ya maisha yetu hapa skuli. Kwani michezo humweka mtoto sawa kimwili na kiakili.
Ndugu mzazi/mlezi mlete mwanao Sunway Islamic School kwa elimu bora na maadili mema. Usajili kwa wanafunzi wapya kwa mwaka 2024 tayari umeshaanza.
Kwa maelezo zaidi tafadhali fika skuli MBWENI, MATREKTA NYUMA YA CCM BRUNCH MBWENI au piga simu namba 0717721666 au 0774770183
30/09/2023
Study tours day & ElimuTv Zanzibar
10/06/2023
Safarini kuelekea FURAHA FM radio
30/05/2023
Sunway Islamic School
"HOME OF TALENTS"