Sumait Chemistry Society

Sumait Chemistry Society Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sumait Chemistry Society, Educational consultant, Chukwani, Zanzibar.

Zawadi kwa mlezi  wa SUCSO β™₯️
28/07/2025

Zawadi kwa mlezi wa SUCSO β™₯️

SUCSO πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
28/07/2025

SUCSO πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Sucso graduation day
28/07/2025

Sucso graduation day

Sumait day β™₯️
01/07/2025

Sumait day β™₯️

A day πŸ™πŸ™
30/06/2025

A day πŸ™πŸ™

Tukamaliza salama πŸ™
30/06/2025

Tukamaliza salama πŸ™

Mafunzo malum yaliyoandaliwa na chemistry society
30/06/2025

Mafunzo malum yaliyoandaliwa na chemistry society

30/06/2025
Sukran nyingi kwa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha Abdul Rahman Al- Sumait (SUSO) kwa kuona jitihada zetu na kuzitha...
23/11/2024

Sukran nyingi kwa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha Abdul Rahman Al- Sumait (SUSO) kwa kuona jitihada zetu na kuzithamini na kututunikia zawadi , a club bora ndani ya Sumait






media

Tarehe 21/11/24 tukibahatika kushiriki katika ufungaji wa student baraza ambalo mgeni rasmi alikjuwa ni naibu waziri wa ...
23/11/2024

Tarehe 21/11/24 tukibahatika kushiriki katika ufungaji wa student baraza ambalo mgeni rasmi alikjuwa ni naibu waziri wa afya zanzibat Mh. Hassan Khamis Hafidh

Katika siku hii tulibahatika kufanya maonesho mbali mbali katika vipengele vya masuala ya project ( experiment na kilimo ) pamoja na ujasiriamali ( tuweza kuonesha baadhi ya bidhaa zinazozalishwa chuoni pia na mwanafunzi binafsi )

media
smz2020

Sumait chemistry society wamefanya mafunzo maalumu ya utengenezaji wa sabuni ya kipande,  mafuta ya nywele,  shampuu, sh...
13/11/2024

Sumait chemistry society wamefanya mafunzo maalumu ya utengenezaji wa sabuni ya kipande, mafuta ya nywele, shampuu, shower gel pamoja scrub yqkiongozwa na @ Mr Muhsin ambwe ni mtaalamu wa masuala ya maabara.
Mafunzo haya yalijumuisha waclub, wanafunzi kwa ujumla pia na wanajamii kwa ujumla ,. Ikiwa na lengo kuu la kukuza suala zima la ujasiriamali na kukusa mahusiano mazuri.





smz2020 media

Mahafali ya kwanza ya sucso yaliyofanyika ndani ya chuo kikuu cha abdulrahman Al-SumaitMgeni rasmi akiwa ni DVC ACADEMIC...
30/07/2024

Mahafali ya kwanza ya sucso yaliyofanyika ndani ya chuo kikuu cha abdulrahman Al-Sumait
Mgeni rasmi akiwa ni DVC ACADEMIC PROF. MWAVURA
Mahafali haya yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali ndanu ya chuo na kuroa nasaha mbalimbali
media





go smz2020

Address

Chukwani
Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sumait Chemistry Society posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Sumait Chemistry Society:

Shortcuts

Share