Al Madrasat Daharia

Al Madrasat Daharia tunawaaidhi kupitia Qasida

Kwa mashairi mazuriKupamba Qasida yakoTutafute kwa nambariPichani hapo zilipo
18/06/2020

Kwa mashairi mazuri
Kupamba Qasida yako
Tutafute kwa nambari
Pichani hapo zilipo

Angalia ladha nzuri hapa
30/03/2020

Angalia ladha nzuri hapa

Director ADIL | Producer ADIL | Production ZSeries Film Studios | Ass Production ZSeries | Production Manneger ADIL | Vituko vya Zanzibar Subscribe,like,come...

16/01/2019

Assalaam alaykum

A'alaikum.Habr kwa wana qaswida, kaeni tyr pia, kuipokea hii hapa."Twaifurahia eid"Kutoka kwa wana dahariya wa magogoni....
18/06/2017

A'alaikum.
Habr kwa wana qaswida, kaeni tyr pia, kuipokea hii hapa.
"Twaifurahia eid"
Kutoka kwa wana dahariya wa magogoni.

SOON

Assalamu alaikum,hayawi hayawi sasa yamekua.ile albamu sasaimeachiwa.Ni kutoka kwao wana dahariya.Nisiseme mengi kuitang...
17/06/2017

Assalamu alaikum,
hayawi hayawi sasa yamekua.
ile albamu sasaimeachiwa.
Ni kutoka kwao wana dahariya.
Nisiseme mengi kuitangazia.
Pata nakala yako kujionea.
Fika sasa madrasa daharia.
Au waweza tupata kwa namba hizi pia.
0773 377 509 , 0778 755 022 .
Usisubiri kuhadithiwa.

KWA UBORA WAKE, NAAMINI UTAIPENDEZEWA..............

Jioni njema na ramadhan kareem
15/06/2017

Jioni njema na ramadhan kareem

A'alaikum Siku nyingi siwasikia maoni yenu wadau wa hii page. Hebu leo fanya juhud toa maoni yako au uliza japo swali, k...
15/06/2017

A'alaikum
Siku nyingi siwasikia maoni yenu wadau wa hii page.
Hebu leo fanya juhud toa maoni yako au uliza japo swali, karibuni sanaaaa.

A'alaikum, vp jaman za ramadhani? ibada vp bado tunaziendeleza, tumuombe Mungu atudumishe katika kufanya ibada hata baad...
11/06/2017

A'alaikum, vp jaman za ramadhani? ibada vp bado tunaziendeleza, tumuombe Mungu atudumishe katika kufanya ibada hata baada ya ramadhan insha allah, ameen.

Hakuna chochote utakachokifanya kikafichikana mbele ya Allah sw.
10/06/2017

Hakuna chochote utakachokifanya kikafichikana mbele ya Allah sw.

Assalamu alaikum warahmatullahi wabarakatuh.kwa mara nyengine tena, kaeni tayar kuipokea albamu ya Iddy, ni kutoka kwa w...
10/06/2017

Assalamu alaikum warahmatullahi wabarakatuh.
kwa mara nyengine tena, kaeni tayar kuipokea albamu ya Iddy, ni kutoka kwa wale wazoefu wa qaswida Almadrasat DAHARIA, kutoka magogoni Zanzibar.

assalamu alaikum warahmatullahi Saba raja tub.Wana Daharia wanawataarifu wapenzi wao na wapenzi wa qaswida kwa ujumla ku...
30/04/2017

assalamu alaikum warahmatullahi Saba raja tub.
Wana Daharia wanawataarifu wapenzi wao na wapenzi wa qaswida kwa ujumla kua wanaanda qaswida kwa ajili ya ramadhani.
Zitakapokua tayari Basi watawajuulisha kwa njia yoyote ile.
Ahsanteni, wabillahi tawfiq. Posted by: Brot.com

17/09/2016

Assalamu alaikum warahmatullahi wabarakatuh.
Kwa wale wapenzi na washabiki WA qasida
tunawaalika katika uzinduzi waAlbam ya Qaswida .itakayofanyika siku ya Jumatatu 19,9,2016. Magogoni kidatu,pia DVD zitapatikana kwa sh 3000 tu njo ujipatie nakala yako orege.kwa maelezo zaidi 0778845961 & 0655845961.

Address

Magogoni
Zanzibar City
0778845961

Telephone

0776896893

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Al Madrasat Daharia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category