SUZA, Kiswahili For Foreigners

SUZA, Kiswahili For Foreigners Kiswahili For Foreigners at The State University of Zanzibar (SUZA)

03/02/2026

Mwanafunzi wetu WANG ZIYAN (Fadhili) kutoka China akifanya uwasilishaji

Paje - upandaji wa mwani
03/02/2026

Paje - upandaji wa mwani

Paje. Wanafunzi wa Idara ya Kiswahili kwa wageni kutoka Zimbabwe walipokwenda kujifunza kupanda mwani na kutengeneza sab...
03/02/2026

Paje. Wanafunzi wa Idara ya Kiswahili kwa wageni kutoka Zimbabwe walipokwenda kujifunza kupanda mwani na kutengeneza sabuni

Hongereni! Karibuni tena
31/10/2025

Hongereni! Karibuni tena

Wiki hii tulipokea wanafunzi kutoka Ujerumani na Ufini kujifunza Kiswahili. Tunawashukuru sana kuja kwetu. Wanafunzi wam...
31/10/2025

Wiki hii tulipokea wanafunzi kutoka Ujerumani na Ufini kujifunza Kiswahili. Tunawashukuru sana kuja kwetu. Wanafunzi wamefurahia kujifunza SUZA, Idara ya Kiswahili kwa Wageni

Wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Soas na wanafunzi wengine walipokwenda kujifunza ufinyazi katika kijiji cha Kiembe samak...
18/09/2025

Wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Soas na wanafunzi wengine walipokwenda kujifunza ufinyazi katika kijiji cha Kiembe samaki

18/09/2025
18/09/2025

Wanafunzi wa Idara ya Kiswahili kwa Wageni wakiwa katika ziara za kimasomo

Ziara za masomo katika sehemu za kihistoria. Kutembea ni kusoma.
18/09/2025

Ziara za masomo katika sehemu za kihistoria. Kutembea ni kusoma.

Wanafunzi wa Idara ya Kiswahili kwa Wageni ambao wanatoka Chuo Kikuu cha Unior Italia walipotembelea shamba la viungo
18/09/2025

Wanafunzi wa Idara ya Kiswahili kwa Wageni ambao wanatoka Chuo Kikuu cha Unior Italia walipotembelea shamba la viungo

Wanafunzi wa Idara ya Kiswahili kwa wageni walipotembelea msitu wa Jozani siku ya Jumatano wiki hii kujifunza mambo mbal...
15/08/2025

Wanafunzi wa Idara ya Kiswahili kwa wageni walipotembelea msitu wa Jozani siku ya Jumatano wiki hii kujifunza mambo mbalimbali juu ya msitu huu

Address

Vuga Campus. Stone Town
Zanzibar City
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SUZA, Kiswahili For Foreigners posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to SUZA, Kiswahili For Foreigners:

Shortcuts

Share