27/04/2026
Unajiamini kiasi gani unapotaja neno "INCENTIVE" mbele ya washirika wako wa biashara? 🤔
Watu wengi hukwama hapa, lakini baada ya post hii, utakuwa bingwa! Katika BEL UP (Business English Level Up), tunajua kuwa matamshi sahihi ndiyo siri ya ujasiri kwa mkurugenzi au mfanyabiashara yeyote wa kimataifa
Kwanini upate tabu ya kutamka maneno kwa shaka? Programu yetu ya Master Class imesaidia watu wengi, kuanzia wakurugenzi hadi madereva wa masafa marefu, kujenga ujasiri ndani ya siku 30.
Jiunge na community yetu kwa kunitumia neno "Bel Up" au comment changamoto yako inayokusumbua wakati unaongea kiengereza tukusaidie.
26/04/2026
Unajiamini kiasi gani unapotaja neno "Schedule" mbele ya washirika wako wa biashara? 🤔
Watu wengi hukwama hapa, lakini baada ya post hii, utakuwa bingwa! Katika BEL UP (Business English Level Up), tunajua kuwa matamshi sahihi ndiyo siri ya ujasiri kwa mkurugenzi au mfanyabiashara yeyote wa kimataifa.
🔹 Neno: SCHEDULE
🔹 Matamshi: She-dyul (Sio 'Sheduli'!)
🔹 Maana: Ratiba ya kazi au mipango yako.
🔹 Mfano: "I have a very tight schedule today." (Nina ratiba ya kubana sana leo).