Kassim jey

Kassim jey Special for me

  wa mwanaadamu hakujitosheleza kwa matakwa yake kukamilisha akitakacho   maisha na uwezo wa mwanaadamu ufungamanishwa n...
13/09/2021

wa mwanaadamu hakujitosheleza kwa matakwa yake kukamilisha akitakacho

maisha na uwezo wa mwanaadamu ufungamanishwa na matakwa ya muumba kipi amempangia akipate

Hivyo binaadam hawezi kumshusha binaadam mwezake mpka atake mola wake

Mafanikio na kufeli yote Mwenye-Ezi-Mungu ndie dhamana ya kumpa mja *kitokeacho chochote huwa ni sababu ......

atupe kila la kheri katika maisha yetu #

Huwezi kutamka konsonanti tupu katika lugha njema ya kiswahili ni lazima uwambatanishe na irabu tuweze kupata neno kamil...
21/03/2021

Huwezi kutamka konsonanti tupu katika lugha njema ya kiswahili ni lazima uwambatanishe na irabu tuweze kupata neno kamili ...

Address

Jongowe
Zanzibar City

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kassim jey posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Kassim jey:

Shortcuts

Share