We are mwanangu special daycare and primary school

We are mwanangu special daycare and primary school Inclusive school running by N.G.o mwadeta for the purpose of provide education services for all

04/11/2021

TANGAZO TANGAZO
Shirika la Mwanangu Development Tanzania
Inapenda kukukaribisha kwenye mafunzo maalum ya maendeleo ya mwanaadam na ustawi wa maisha (Human Development).
Mada zitakuwa k**a ifuatavyo
1. Jinsi ya kuanzisha na kufundisha watoto kwa elimu ya awali na mzingi kwa mfumo wa kiwaldorf, 2. Ukulima wa asilia bila madawa-Biodynamic farming kwa wakulima, 3. Elimu kwa madaktari kuhusu tiba mbalimbali ulimwenguni Antroposophic Medicine, 4. Huduma mbadala kwa wagonjwa itolewayo na wauguzi, 5. Jinsi ya kufanya biashara kwa kuzalisha utajiri kwa wafanyabiashara, 6. Elimu kuhusu maendeleo ya mwanaadam. Watoa mada kutoka bara la ulaya, Africa kusini na Africa Mashariki ikiwepo Tanzania.
Mafunzo yataanza Kuanzia tarehe 12-19/12/2021, Kwa maelekezo zaidi wasiliana na 0754747999
Sambaza kwa magroup mengine

07/10/2021

One of our princess celebrate her 6 years old    jumuishi
06/08/2021

One of our princess celebrate her 6 years old

jumuishi

Address

Vikindu
Vikindu

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:00
Friday 07:00 - 15:55

Telephone

+255745918692

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when We are mwanangu special daycare and primary school posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category