29/12/2025
maada ya Leo hakuna mtu aliye tayali kulipia gharama ya kutimiza maono yako zaidi ya wew mwenye hayo maono tunapoelekea kuumaliza mwaka 2025 naomba mtu wa Mungu ukumbuke jambo hili Muhimu sana your the reason of your fariules na delayment hakuna mtu atailipia gharama ya ukuu wako punguza visingizio amua kusimamia na Muhusishe Muumba wako akupe njia njema za kupita