New KIOO Open school

New KIOO Open  school We provide secondary education and vocational training to Tanzanian young women, children and girls

19/10/2025

Wakati ndio huu wa kufanya maamuzi kwa miaka mitano mingine. Kushindwa kujitokeza kupiga kura ni kuwaachia wengine wakuamlie, ni mhimu kushiriki kufanya maamuzi mwenyewe na sio kusubiri kuamliwa.

https://youtu.be/1fXvtEfXWO0UMOJA WA WAWEZESHAJI KIOOMambo makubwa yanakuja kutokea Ilagala mwaka huu fuatilia mpaka mwi...
01/07/2025

https://youtu.be/1fXvtEfXWO0
UMOJA WA WAWEZESHAJI KIOO
Mambo makubwa yanakuja kutokea Ilagala mwaka huu fuatilia mpaka mwisho kwa kubonyeza button ya SUBSCRIBE

๐Ÿ“… Tukio hili limefanyika kwa mafanikio makubwa chini ya uratibu wa Umoja wa Wawezeshaji Kioo, likiwa na lengo la kuwahamasisha na kuwawezesha vijana, wasich...

https://youtu.be/xxUEayI_63Q
01/07/2025

https://youtu.be/xxUEayI_63Q

Mfuatiliaji na Mtathmini wa Mradi wa GIRL-H akielezea kwa kina mafanikio na mwelekeo wa mradi!Katika hotuba hii, anagusia kwa undani jinsi mradi wa GIRL-H un...

CHAMPION DAY ILIYOFANYIKA NGURUKA"Kupitia Mradi wa GIRL-H (Wasichana Wanaimarishwa Kiustahimilivu, Kipato na Afya), Cham...
25/06/2025

CHAMPION DAY ILIYOFANYIKA NGURUKA

"Kupitia Mradi wa GIRL-H (Wasichana Wanaimarishwa Kiustahimilivu, Kipato na Afya), Champion Day katika kata ya Nguruka, wilaya ya Uvinza imekuwa jukwaa la kuonyesha mafanikio ya wajasiriamali wadogo โ€“ hususan wasichana na wanawake โ€“ waliopata mafunzo ya ujasiriamali na afya, na sasa wameanzisha biashara zao ndogondogo. Hii ni hatua kubwa kuelekea maisha bora na maendeleo ya jamii. ๐Ÿ’ช๐Ÿพโœจ "

visit instagram https://www.instagram.com/kigomakioo/ subscribe Subscribe youtube https://www.youtube.com/ follow linkedin https://www.linkedin.com/feed/?trk=guest_homepage-basic_google-one-tap-submit
visit our web https://kioo.or.tz/

SHIRIKA LA UMOJA WA WAWEZESHAJI KIOO KWA SASA LINATEKELEZA MRADI WA *GIRL H*   KUPITIA MRADI HUO WANUFAIKA WANASEMA "Kut...
25/06/2025

SHIRIKA LA UMOJA WA WAWEZESHAJI KIOO KWA SASA LINATEKELEZA MRADI WA *GIRL H* KUPITIA MRADI HUO WANUFAIKA WANASEMA
"Kutoka ndoto hadi hatua! ๐ŸŒŸ Katika Champion Day wilaya ya Uvinza โ€“ kata ya Nguruka Mkoa wa kigoma, vijana na wanawake wajasiriamali wameonyesha mabadiliko makubwa walivyoweza kunufaika na mafunzo ya ujasiriamali na kuanzisha biashara zao. Huu ni ushahidi kuwa uwezeshaji sahihi hubadilisha maisha. https://www.instagram.com/kigomakioo/ https://www.youtube.com/ https://www.linkedin.com/feed/?trk=guest_homepage-basic_google-one-tap-submit
https://kioo.or.tz/

We are excited to introduce Kioo Online TV, a new digital media platform dedicated to informing, educating, and inspirin...
04/06/2025

We are excited to introduce Kioo Online TV, a new digital media platform dedicated to informing, educating, and inspiring our community. Powered by Umoja wa Wawezeshaji Kioo, Kioo Online TV brings you real stories, community voices, and impactful programs that highlight social, economic, and developmental issuesโ€”especially those affecting youth, women, and people with disabilities.

๐Ÿ“บ Stay tuned for news updates, interviews, documentaries, and special features designed to empower and promote positive change in society.

โœ… Follow us, share our content, and be part of the movement!
Together, let's raise our voices and reflect the true image of our community through Kioo Online TV.

04/05/2024
03/06/2021

Wapendwa wakazi wa mkoa wa Kigoma na mikoa jirani. Wakati ni sasa kuitumia TEHAMA kibiashara. Mlete mwanao KIOO tumhudumie uone tofauti. Masomo yanaanza Jumatatu ijayo

Process for irrigation system in Sunuka ward. We are welcoming everyone who is interested in this project
24/05/2021

Process for irrigation system in Sunuka ward. We are welcoming everyone who is interested in this project

Irrigation project in Sunuka is on ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ thanks to EWB Cornell university
20/05/2021

Irrigation project in Sunuka is on ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ thanks to EWB Cornell university

Address

Ilagala Village
Uvinza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when New KIOO Open school posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category