13/04/2026
Shirika la Attraction Birds Conservation ambalo linamiliki pia chuo cha Attraction Bush College limepokea zawadi ya camera na lensi 8 kutoka kwa bwana Daud Peterson na mke wake Trude Peterson, zawadi ambayo itakuwa msaada mkubwa sana katika juhudi za uhifadhi wa viumbe hai k**a vile ndege na mazingira yake kwa ujumla.
pamoja na kujifunza kwa vitendo kuhusu upigaji picha , pia itasaidia katika ukusanyaji wa taarifa k**a vile breeding records za ndege na matukio mengine ya kuvutia katika field.