RBCT Ministry

RBCT Ministry

Share

RBCT-CHURCH Kanisa la kukombolewa na kubarikiwa lililojengwa kwenye msingi wa neno la Mungu karibu uabudu pamoja nasi. Tupo Ubungo Riverside Dsm
📞0783525209

19/01/2026

21 DAYS OF PRAYER AND FASTING DAY 1.

MAOMBI YA KUOMBA.

1: Omba Toba kwa kutokumwamini Mungu; pengine uliwahi kupitia au unapitia jambo furani gumu na ukawaza moyoni vibaya kwamba je? Mungu yupo kweli k**a angekuepo ningepitiaje hili jambo, kuwaza hivyo ni uovu mbele za Mungu, 11:6, 1:22

2: Omba Mungu akuongezee viwango vya Imani. Fahamu Imani tu ndio inaweza kukufanya kuwa rafiki wa Mungu; 17:5; 9:24; 2:23

3: Mungu akutie mafuta, katika kuomba kutiwa mafuta viko viwango vitatu vya mafuta omba vyote.

KIWANGO CHA KWANZA: Kiwango cha kuandaliwa 16:1-13 kitakupeleka kujaribiwa au kwenye darasa la kuliishi kusudi

KIWANGO CHA PILI
Viwango vya kuanza kuliishi kusudi, mafuta haya yatafanya uaminiwe katika eneo dogo na kuwa na matokeo madogo 15:22/28

KIWANGO CHA TATU; Mafuta ya kuthibitishwa, haya ni mafuta yatakayokufanya uwe yule uliyekusudiwa na Mungu; utimize kusudi 5:3

4: omba ujasiri wa kusema sawa sawa na Imani. Matendo 4:20

Pastor Jerry Nkinda RBCT Church
focus on your calling

10/11/2024

1 Timotheo 4:14 Usiache kuitumia karama ile iliyomo ndani yako, uliyopewa kwa unabii na kwa kuwekewa mikono ya wazee.

03/12/2022

Eng.NKINDA congraturation, hatua mpya historia imeandikwa hakika MUNGU AWAJUA WALIO WAKE hongera sana sana!

15/05/2021

Matthew 7:1
[1]Judge not, that ye be not judged.
Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.

Mungu atusaidie sana.

10/05/2021

Katika huduma hii tutamuona Mungu akishughulika na Maisha yetu

10/05/2021

Amka amka kumekucha

10/05/2021

Mungu tuko nae hapa anatuhudumia
Yeremia 15:3 Bwana ni MTU wa Vita na Bwana ndilo jina lake

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Ubungo
Dar Es Salaam
789