Salafitz24hrs

Salafitz24hrs Hakika ya ukumbusho huwafaa waumini. WhatsApp +255767221171

TOANI KATIKA VILE AMBAVYO ALLAH AMEWARUZUKU!“Na toeni katika yale tuliyowaruzuku kabla mauti hayajamfikia mmoja wenu, ak...
18/05/2026

TOANI KATIKA VILE AMBAVYO ALLAH AMEWARUZUKU!

“Na toeni katika yale tuliyowaruzuku kabla mauti hayajamfikia mmoja wenu, akasema: ‘Ewe Mola wangu! Lau ungenichelewesha ukanipa muda kidogo nipate kutoa sadaka na niwe miongoni mwa watu wema’

Lakini Allaah hataichelewesha nafsi wakati wake utakapofika. Na Allaah ni mwingi wa habari za mnayoyatenda.

[ Al-Munafiqun 9-10]

Tarjama: Ustadhi Abuu Hudhayfah Abdulkarim Daud Jaabir حفظه الله
Imechapishwa: May 18, 2026M sawa na Dhul hijah 1, 1447H

Kwa Faida zaidi Follow Channel hii ya WhatsApp 👎👎
https://whatsapp.com/channel/0029Vb75L3nElagwIaxzCv0N

◈◉✹❒ 🎙️🎙️ ❒✹◉◈

Address

Pongwe
Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Salafitz24hrs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category