Quran lessons online
Mimi ninajishughulisha na kufundisha masomo ya dini k**a vile Quran,hadith,lugha ya kiarabu nk.
📖 MAFUNZO YA QUR’AN MTANDAONI (WHATSAPP)
Je, ungependa kusoma Qur’an kwa usahihi, kwa ratiba rafiki ukiwa nyumbani?
Tunatoa mafunzo ya Qur’an na Dini ya Kiislamu 100% mtandaoni kupitia WhatsApp:
✅ Tajwid & Qirā’a (usomaji sahihi)
✅ Hifdh (Hifadhi ya Qur’an)
✅ Mafunzo ya Dini: Tauhiid, Fiqhi, Swala, Akhlaaq n.k.
Wanaume & Wanawake,Watoto (Watu wazima)
👥 Mafunzo binafsi au vikundi
🕰 Ratiba maalum kulingana na muda wako
💳 Ada nafuu – malipo baada ya wiki 1 ya majaribio
🇹🇿 Inapatikana Tanzania nzima
👉 Jiunge sasa kupitia WhatsApp
📲 https://wa.me/255671618802
Karibu katika safari ya elimu yenye baraka 🤲✨
---
Assalaamu Alaykum warahmatullaahi wabarakaatuh 🌿
Karibu sana katika masomo yetu ya Qur’an na Dini ya Kiislamu. Tunakushukuru kwa kuvutiwa na tangazo letu 🤍
Tunafundisha masomo ya Dini ikiwemo:tauhiid, fiqhi, hadithi, twahara na swala, lugha ya kiarabu,manhaji, akhlaaq nk.
📚 Kwa wanafunzi wenye uwezo wa kuisoma quran vzr
_ _ _
💵 Ada: Tsh 10,000 au Ksh 700 kwa kila mwezi.
---
Muda wa kusoma: saa 15:00 - 15:30mchana
Kipindi kitarudiwa: saa 17:00 - 17:30 jioni
NB: 📌 Ada hulipwa baada ya wiki moja tangu mwanafunzi aanze masomo.
_ _ _
Karibu sana katika safari ya elimu yenye baraka 🤲
Pia hatujawasahau wale wanaoanza mwanzo kabisa ktk kujifunza heruf na misingi ya usomaji wa quran na kusoma kwa kuangalia pia
1️⃣ Mafunzo ya herufi, Qaaidah na misingi ya usomaji wa Qur’an.
💵 Ada: Tsh 20,000 au Ksh 1,300 kwa mwezi.
---
2️⃣ Kusoma kwa Kuangalia (Kwa wanaozifahamu herufi vizuri)
💵 Ada: Tsh 20,000 au Ksh 1,300 kwa mwezi
---
NB: 📌 Ada hulipwa baada ya wiki moja tangu mwanafunzi aanze masomo.
📖ikiwa umeridhika na utaratibu wetu bas bonyeza link hapa chini kujiunga na maelezo zaidi👇👇👇👇👇👇
https://share.google/JOdqIY7zQTE3uiA5O
Karibu sana katika safari ya elimu yenye baraka 🤲✨
---
15/08/2025
KARIBU QUR'AN LESSONS
Sifa njema zote ni stahiki ya Allahسبحانه وتعالى mola wa viumbe wote, na swala na salamu ziwe juu ya mtume wetu muhammadi صلى الله عليه وسلم na pia ziwafikie maswahaba zake woteرضي الله عنهم.
Ama baada ya kumshukuru Allahتعالى na kumtakia swala na salamu mtume wetu muhammadiصل الله عليه وسلم, kwanza kabisa napenda kuwakaribisha waislamu wote wa rika zote na jinsia zote wanaume na wanawake ktk kuianza pamoja safari safar yetu muhimu ya kuiandaa akhera yetu kwa njia rahis na nyepes zaid kwa watu wote.
DIBAJI
Baada ya utafiti yakinifu na kutafakari kwa kina yale maneno ya mtume(hadithi) yasemayo:
""{M'bora wenu ni yule atakaejifunza quran na akaifundisha}""
Na baada ya kufahamu ubora na ujira mkubwa wakufikisha kile kidog alichoturuzuku Allahتعالى ktk elimu, pia ubora wa kumuongoza mtu kumpeleka ktk njia za kheri k**a mtume alivyo wambia swahaba Aliy ibni Abii twaalib رضي الله عنه:-
""{Allah kumuongoza mtu mmoja tu kupitia ww ni bora kwako kuliko ngamia wekundu}""
Ndipo tukafikiria zaidi namna nzuri ya kuifikish elimu kwa waislamu weny uhitaji maalumu na kuweka mchango wang ktk kuipeleka mbele dini yetu, na kutengeneza jamii iliobora inshaallah, kisha nikagundua kua wapo ndug zetu wengi sana ambao ni waislamu ktk maeneo mbalimbali mahitajio yao yapo makubwa zaidi ktk hili, imma ni kitokana na wingi wa majukumu na shughuli mbalimbali za kimaisha au ni kwasababu wapo mbali na sehemu za madrasa kiasi ambacho wakajikuta ni weny kukatiwa tamaa na mashekhe, waalimu na wadau mbalimbali wa dini, au ni weny kujikatia tamaa wenyew ktk kujifunza dini yao kwa kuhisi kua hawana nafasi tena ya kujifunza.
Ndipo tulipofikiria kuanzisha program hii QUR'AN LESSONS ONLINE, tukiamini kwamba kwa uwezo wa Allah itaweza kuwasaidia ndug zetu weny uhitaji na nia ya dhati ya kujifunza dini yao inshaallaah.
MASOMO YANAYOFNDISHWA
Program hii inajikita kufundisha masomo yafuatayo hatua kwa hatua:-
1.Qur'an na misingi yake
2.Tauhiid(aqida)
3.Fq'hu
4.Hadithi(mafunzo ya mtume)
5.Lugha ya kiarabu
6.Somo la manhaji sahihi
MFUMO WA USOMESHAJI
Masomo yote hayo tumeyagawanya ktk sehemu kuu mbili na kila sehemu ina utaratibu wake namna ya usomeshaji k**a ifuatavyo:-
1.masomo ya quran na misingi yake
2.masomo mengine
1.Masomo ya qur'an
>> kila mwanafunz atafundishwa peke kwa kuzingatia fursa yake kwa mujibu wa utaratib uliopangwa na wasimamiz wa program
>>wanawake watafundishwa na mwalimu mwanamke na wanaume watafundishwa na mwalimu mwanaume.
2.masomo mengine(ya fani)
>>wanafunzi wote watafundishwa ktk darsa ya pamoja kwa muda mmoja kwaajili ya ufanisi zaaidi
>>wanafunz wanaume na wanawake watakua pamoja darasan pamoja na kuchunga sheria zote za dini yetu ya kiislam bila kuonana wala kusikiana
>>Na vipindi ivyo vya masomo vitaendeshwa na kusimamiwa na mlezi mkuu wa program hii ambae ni mzoefu ktk mas'ala ya ufundishaji.
MAHITAJI YA MWANAFUNZI
1️⃣Smartphone, Tablet, PC au Computer
2️⃣Vitabu husika atakavyoelekezwa na mwalimu
3️⃣Mwanafunzi anatakiwa kuchangia kiasi cha Tsh 20,000 kwa kila mwezi ili ajili ya kusaidia uendeshaji wa program
4️⃣Tunahitajia utayari wa mwanafunz kwa 100%
NAMNA YA KUJIUNGA
Baada ya kubonyeza kitufe kilichoandikwa neno "whatsapp" na kuingia utafuata hatua zifuatazo:-
1.andika majina yako matatu kwa ukamilifu wake, na kuniyah(jina la kubandika) kwa wale wenye nazo,
2.mahali unapoishi kwasasa(anuani yako)
3.kisha tuma sauti(voice) itakayoelezea hatua uliofikia ktk masomo ya dini tulioyataja hapo juu
4.utatuma kiasi kilichowekwa kwa mwezi Tsh20,000 mara tu baada ya kuwasiliana na msimamiz mkuu wa program na kukufanyia interview
NB:
Program hii inahitaji wanafunzi kwa idadi maalumu kulingana na nguvu kazi tulionayo ili tuweze kufikia malengo yaliokusudiwa kwahiyo wahi nafas mapema usipoteze fursa
Wanaume=50 tu
Wanawake=20 tu
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Tanga