Kange College of Health, Science & Technology

Kange College of Health, Science & Technology

Share

Kange College of Health, Science & Technology au Chuo cha Afya, Sayansi na Teknolojia Kange tunapatikana Kange, Tanga Mjini (Jijini Tanga).

Wasiliana nasi kwa 0672187936 & 0757321823. Au tembelea tovuti yetu kwa www.kacohas.ac.tz

27/05/2026

Tunawatakia Waislamu wote duniani kote Sikukuu njema ya . Mwenyezi Mungu azijalie familia na nyumba zenu amani, upendo, afya njema na baraka tele katika kipindi hiki cha ibada, sadaka na mshikamano.

Kesho dirisha la udahili linafunguliwa rasmi. Karibu kujiunga na Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Kange kwa kozi mbalimbali zenye ubora na fursa kubwa katika soko la ajira.

Kozi zinazotolewa ni: Clinical Medicine (Utabibu), Clinical Dentistry (Utabibu wa Meno), Pharmacetical Sciences (Famasia), Medical Laboratory (Maabara), Diagnostic Radiography (Mionzi), Nursing & Midwifery (Uuguzi na Ukunga), Health Assistant (Uhudumu wa Afya), Social Work (Ustawi wa Jamii), Information & Communication Technology (TEHAMA), Electrical Engineering (Uhandisi wa Umeme) & Health Assistant.

Aidha, kozi 4 zinapata mkopo wa serikali ambazo ni Clinical Dentistry (Utabibu wa Meno), Medical Laboratory (Maabara), Diagnostic Radiography (Mionzi) & Electrical Engineering (Uhandisi wa Umeme). Chuo kitakusaidia kufanya maombi (application) ya udahili na mkopo bure. Usikose nafasi ya kujenga taaluma yako na kuwa sehemu ya wataalamu wa kesho.

26/05/2026

Kutana na mwalimu wetu wa maabara — mwenye moyo wa kufundisha, uvumilivu wa hali ya juu, na ari ya kuhakikisha kila mwanafunzi anapata ujuzi bora kwa vitendo. 🩺🔬
Kupitia mafunzo yake, wanafunzi wetu wanajifunza kwa umakini, kujiamini, na kuwa tayari kuitumikia jamii kitaalamu zaidi.
Ubora wa elimu huanzia kwa walimu bora, na sisi tunajivunia kuwa naye katika familia yetu ya chuo. ✨👩‍⚕️👨‍⚕️

23/05/2026

Sio tu kwenye taaluma ya afya 🩺, wanafunzi wetu pia wana vipaji vya kuimba vinavyoburudisha na kuhamasisha 🎤✨ Talent na elimu vinaenda pamoja hapa Chuo cha Afya Kange 💙”

22/05/2026

Ukichagua kusoma Kange, unachagua kujenga future yako katika taaluma ya afya kwa msingi imara.
Karibu tuanze safari yako ya mafanikio pamoja nasi.

21/05/2026

“Mwanafunzi bora sio anayefaulu pekee, bali anayewainua na wenzie ❤️”
“Elimu inaongezeka zaidi tunaposhirikishana maarifa 👩‍🏫✨”
“Leo mwanafunzi, kesho mtaalamu — hatua zinaanza kwa kusaidiana 📖”
“Darasani sio ushindani tu, ni kusaidiana kuelekea ndoto zetu 🤝”

21/05/2026

Karibuni wote Tumsifu. MUNGU KACOHAS without GOD nothing

20/05/2026
19/05/2026

Ubora wa taaluma huanzia maabara — hapo ndipo vipaji vya wanafunzi hujengwa kwa vitendo. 🧫📚karibu sana Kange College of Health, Science & Technology

Want your school to be the top-listed School/college in Tanga?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Kange
Tanga