Pongwe Islamic Girls' Sec School

Pongwe Islamic Girls' Sec School

Comments

Assalam alaykum warahmatullah wabarakat
ISIA
Ninatamani kufundia pongwe Islamic siku Allah akiniafikisha.
Assalaam Alaykum!
Allah awape nguvu na uwezo muweze kuwalea vijana wetu inshallah
Inter Islamic Form II Results 2017

The School is established in 2015 with Reg No S.4892 and Exams Centre No S.5405. It is 1.5 Km away from Pongwe City
Our Motto: Learn Today Aim for Progress

Operating as usual

02/08/2021

Sports and games support our students on punctuality, responsibility, patience, discipline, and dedication towards their goal.

It stimulates the sense of friendliness with team spirit. Moreover, being involved in physical activity also keeps a body away from bones and muscles related diseases like arthritis, and joint problems.

Obesity and other health problems will not come in the way of a child if he participates actively in sports and other games.

Photos from Pongwe Islamic Girls' Sec School's post 01/07/2021

Ahsante @radionuur kwa mualiko katika kipindi cha leo Julai 1 Mada Mseto wa Elimu.

Ilikuwa ni fursa ya kipekee kwa wanafunzi wetu na mwalimu wao kuonesha weledi wao katika mada
Je,mazingira ya shule yanamchango gani katika matokeo ya mwanafunzi shuleni?

Pongezi za pekee kwa Madam Aona Ramadhan kwa maelezo fasaha yaliyowafaidisha wasikilizaji wa 94.5 FM Tanga.

22/06/2021

Ukumbusho kwa Wazazi/walezi.

Ukumbusho kwa Wazazi/walezi.

18/06/2021

Kwa taaluma bora ya binti yako na malezi yake kiimani Pongwe Islamic Girls imefungua dirisha la udahili kwa mwaka 2022.

Ahsanteni wadau wetu popote mlipo.

Kwa taaluma bora ya binti yako na malezi yake kiimani Pongwe Islamic Girls imefungua dirisha la udahili kwa mwaka 2022.

Ahsanteni wadau wetu popote mlipo.

12/05/2021

Let this day bring new hope and opportunities in your life.

May you welcome them with an open mind and fresh thoughts.

May your deeds in the month of Ramadhan being accepted before Allah the Almighty.

Let this day bring new hope and opportunities in your life.

May you welcome them with an open mind and fresh thoughts.

May your deeds in the month of Ramadhan being accepted before Allah the Almighty.

09/05/2021

You're Welcome

You're Welcome

03/05/2021

May all your hard works before the exam be rewarded with the best. May you obtain the highest marks and your success be continued.

May all your hard works before the exam be rewarded with the best. May you obtain the highest marks and your success be continued.

Photos from Pongwe Islamic Girls' Sec School's post 01/05/2021

Hongereni washiriki wote na watazamaji.

Swip kuwaona washindi waliopkea zawadi.

01/05/2021
01/05/2021
01/05/2021
01/05/2021
01/05/2021
01/05/2021
01/05/2021
01/05/2021
01/05/2021
01/05/2021
01/05/2021
28/04/2021

'Nafsi Kinai' ya Afaiz Luheta ilikuwa sehemu ya faraja kwa wanafunzi waliotembelewa katika shule ya msingi Pongwe.

Photos from Pongwe Islamic Girls' Sec School's post 28/04/2021

School should contribute to the community.

28/04/2021

WANAFUNZI WAADHIMISHA SIKU YA MUUNGANO KWA NAAMNA YA KIPEKEE.

Pongezi kwenu wazazi/walezi kwa kuwawezesha wanafunzi kufanya ziara ya kutembelea wanafunzi wenzao wenye ulemavu wa ngozi na uoni hafifu katika shule ya Msingi Pongwe 26 Aprili 2021.

Wanafunzi kushirikiana na uongozi waliweza kutoa msaada wa futari na vitu vingine kwa ajili ya kusaidia mahitaji muhimu ya wanafunzi wenzao wenye uhitaji.

Walimu wa shule hiyo (Pongwe shule ya msingi) wamewashukuru wanafunzi wa Pongweislamicgirls Tanga kwa kuonesha upendo wa kipekee kwa kuwafikiria na hatimaye kuwapatia msaada huo.

Ziara hiyo ilijumuisha pia kufanya usafi na kupanda maua katika ofisi za serikali zilizopo kata ya Pongwe zikiwemo, Mahakama ya mwanzo, Kituo cha polisi na Ofisi ya Mtendaji Kata

Jamii imevutiwa na uthubutu wa uongozi wa shule ya wasichana ya kiislamu ya Pongwe kwa kuwafunza wanafunzi kivitendo kuwa wao (wanafunzi) ni sehemu ya jamii na wanapaswa kuwa tayari kuitumilia wakati wote wakiwa wanafunzi na baada ya kuhitimu masomo yao.

Kwa mara nyingine tunawapongeza na kuwashukuru wazazi/walezi wote kwa kuitika mwito wa watoto wetu.

Hakika tumefarijika

13/04/2021

The Month of Qur'an

The Month of Qur'an

26/03/2021

Aisha Mustapha - Kusoma Qur'an siku ya vipaji ya Pongwe Islamic.

Talents Day 26 Machi 2021, mwanafunzi Aisha Mustapha alionesha kipaji chake kwa kusoma Qur'an Tukufu kwa sauti tatu tofauti. Hakika vipaji hivi vikiendelezwa ni faida kwa ummah.

26/03/2021
21/03/2021

You are our role model.

You are our role model.

Taarifa ya Habari 24/02/2021

Taarifa ya Habari

Leo tuwaletea Taarifa ya Habari iliyotayarishwa na kusomwa na wanafunzi siku ya Welcome Form One

Zaidi ya masomo ya darasani shule inawaandaa mabinti kutumia vipawa mbalimbali Allah Alivyowajaaliya ikiwemo udadisi, uhifadhi ya kumbukumbu na utangazaji.

Utakayoyasikia ikiwemo wanafunzi wenyeji kuigiza sauti za wanafunzi wageni (makuruta) baada ya kuripoti shuleni (kambini)

Wanajeshi waliotajwa ni walimu na nyota ilikusudiwa madaraka / nyadhifa za walimu.

Wanafunzi hawa wametumia lugha ya picha kuwasilisha ujumbe wa kuwakaribisha wenzao shuleni kwa kyonesha hali halisi zinazowakuta wanafunzi wapya wanaporipoti shuleni.

Kuigwa kwa sauti za walimu kumetia fora na kuipamba taarifa ya habari. Lengo ni kuonesha upendo uliopo shuleni baina ya walimu/walezi na wanafunzi.

Nisimalize hamu yako bofya kiunganishi kusikiliza.

👇👇👇

https://youtu.be/E4vsbYA5co8

Taarifa ya Habari

Naanza Kumuhimidi 23/02/2021

Naanza Kumuhimidi

Leo tunawaletea mnashida wetu, Khadija bint Nyumbwe Mwariko.

Mwanafunzi wa Kidato III aliyejizolea umaarufu katika kila shughuli ya Pongwe Islamic Girls ambapo hakukosa kutunga Nasheed kuhusu tukio hilo tangu akiwa kidato I.

Katika makaribisho ya wadogo zake alitoka na hii aliyooita Naanza Kumuhimidi

Si yeye tu wapo wanafunzi wengi nyuma yake na walimu pia wote ni wataalamu wa kughani.

Bofya Kiunganishi kumsikiliza.

https://youtu.be/1yO4zTv9-WY

Usisahau ku-Subscribe YouTube Channel ya Pongwe Islamic Girls.

Naanza Kumuhimidi

27/01/2021

Parents/guardians are important stakeholders who contribute to our school success.

School leaders, teachers and the general staff's collaboration and teamwork always lead to improvement of our student learning outcomes.

15/01/2021

Management of Pongwe Islamic Girls Secondary School is pleased with staff commitment and parents/guardians involvement in school programmes that contributes to such a wonderful CSEE and FTNA 2020 results.

Wishing you dear students success in your future endeavors.

You'll always remembered for making your class shines.

11/01/2021

If speaking kindly to plant help them to grow.
.
.
Imagine what speaking kindly to your students can do.
.
.
Pongwe Islamic Girls ensures teachers have positive relationships with their students to help them to learn better.

youtube.com 12/12/2020

WAHITIMU WAKABIDHI ZAWADI - MCHANGO WA UJENZI WA MAABARA

Ni furaha kuona athari ya malezi ya kiimani kwa mabinti wanaolelewa Pongweislamicgirls Tanga

Ikiwa mahafali ya tatu ya kidato cha nne mwaka 2020 inaelekea ukingoni, wahitimu waliomba kupatiwa nafasi ya angalau dakika tano katika ratiba ambayo hakuna aliyefahamu wanataka kufanya nini na dakika hizo. Kwa kuwa ilikuwa ni siku yao kufurahi walikubaliwa na kuarifiwa kuwa wangepatiwa muda huo baada ya kukamilika zoezi la ugawaji wa vyeti, zawadi na tuzo mbalimbali.

Kwa usiri mkubwa bila ya wanafunzi wa vidato vingine, mwalimu au kiongozi yeyote kujua wahitimu hao walikuwa wakichanga fedha kwa ili kununua bati za kupaua jenngo la maabara ya shule, Allah Akbar!

Walipopata nafasi ya kufanya walichotaka ndio sote tukajulishwa kuwa wanatoa zawadi ya 500,000 ili kusaidia ujenzi wa maabara ambapo walimtaka meneja wa shule (Director) kupokea zawadi yao hiyo, kwa mstuko meneja alikuwa akirekodi matukio katika hafla ile mojawapo ni tukio hili liliopelekea kuanguka kwa simu aliyokuwa akiitumia.

Ahsanteni sana mabinti zetu hakika mmeacha alama na athari kubwa kwa jamii, tunaimani mliyoyasema katika risala yenu mtayaishi.

Tazama video https://youtu.be/VoWnw5nD5lM

Allah Awahifadhi.

youtube.com Ni furaha kuona athari ya malezi ya kiimani kwa mabinti wanaolelewa Pongweislamicgirls. Ikiwa mahafali ya tatu ya kidato cha nne mwaka 2020 inaelekea ukingon...

08/12/2020

Best School Stakeholder of the year Award 2020.

06/12/2020
05/12/2020

Meya mteule wa Jiji la Tanga ndiye aliyekuwa mgeni rasmi. Mahafali ya 3 Kidato IV 2020

Videos (show all)

Location

Category

Telephone