10/06/2025
Sheikh Saleh Al-Fawzan (hafidhahullah)
Fatwa ya Ramadhani, tarehe 13 / Ramadhan 1440
*Kadiri muumini anavyosoma Qur'an kwa wingi, ndivyo moyo wake unavyoangaziwa, unavyozidi kuwa na unyenyekevu, na kuguswa zaidi na Qur'an Tukufu.*
*Lakini aliyeghafilika, hawezi kufaidika na Qur'an hii.*