MTAE Secondary School

MTAE Secondary School Shule ya Sekondari Mtae ni Shule ya Serikali iliyopo Mkoa wa Tanga,Wilaya ya Lushoto,Kata ya Mtae S.

Wataalamu wa kazi wanawatakia Jumatatu njema. Hawa ni miongoni mwa wanaofanya shule inakwenda vizuri.Wanasema mambo mazu...
15/02/2021

Wataalamu wa kazi wanawatakia Jumatatu njema.
Hawa ni miongoni mwa wanaofanya shule inakwenda vizuri.
Wanasema mambo mazuri yanakuja, msiwe na hofu.

Mapambano ya kuondoa Ujinga kwa vijana wetu yanaendelea.They are doing very good presentation.Mazuri yanakuja kutoka kwa...
11/02/2021

Mapambano ya kuondoa Ujinga kwa vijana wetu yanaendelea.
They are doing very good presentation.
Mazuri yanakuja kutoka kwao.

Hapa ni Mtae Secondary.Mazingira bora,safi na tulivu kwa kuwapatia vijana Elimu bora kwa ajili ya kuwajenga kupambana na...
11/02/2021

Hapa ni Mtae Secondary.
Mazingira bora,safi na tulivu kwa kuwapatia vijana Elimu bora kwa ajili ya kuwajenga kupambana na changamoto za maisha pindi watakapotoka hapa.
Karibuni wote.

Matokeo ya Kidato Cha Nne mwaka 2020 k**a yanavyoonekana hapo.Division zero ni 3 tu.Tumedhamiria kuhakikisha tunazimaliz...
09/02/2021

Matokeo ya Kidato Cha Nne mwaka 2020 k**a yanavyoonekana hapo.
Division zero ni 3 tu.
Tumedhamiria kuhakikisha tunazimaliza kabisa zisiwepo. Walimu vijana mahiri, wabobezi katika Tasnia ya Ufundishaji wanalihakikisha hili linakamilika.
Karibu Sana. Mazuri zaidi yanakuja.

Wanafunzi wa Kidato Cha Nne wakiendelea na Presentation mchana huu.
08/02/2021

Wanafunzi wa Kidato Cha Nne wakiendelea na Presentation mchana huu.

Mazingira safi na tulivu kwa kujisomea. Wanafunzi wanajisomea kwa utulivu mkubwa na mabadiliko ni makubwa sana. Division...
08/02/2021

Mazingira safi na tulivu kwa kujisomea. Wanafunzi wanajisomea kwa utulivu mkubwa na mabadiliko ni makubwa sana. Division zero zinapungua kwa Kasi Sana.
Nyumbani kumenoga.
Karibuni sana.

Walimu na Wanafunzi Mtae Secondary wakiendelea na shughuli za Uzalishaji mchana huu kwenye bustani za shule.  K**a shule...
05/02/2021

Walimu na Wanafunzi Mtae Secondary wakiendelea na shughuli za Uzalishaji mchana huu kwenye bustani za shule.

K**a shule tumebuni vyanzo vya mapato. Tumeanza kulimo cha Karoti,huu ni mradi wa Wanafunzi wenyewe.
Karibuni Mtae Secondary.

Ukurasa rasmi wa Mtae Secondary kwa ajili ya kuonesha mambo mbali mbali yanayofanyika shuleni hapa, kuitangaza shule yet...
05/02/2021

Ukurasa rasmi wa Mtae Secondary kwa ajili ya kuonesha mambo mbali mbali yanayofanyika shuleni hapa, kuitangaza shule yetu ili ijulikane Tanzania nzima na hata nje ya Tanzania.
Karibuni Mtae Secondary.

Share ili post hii iwafikia watu wengine.

Address

Mtae
Tanga
P.OBOX359LUSHOTO

Telephone

+255655288354

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MTAE Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category