27/05/2026
السَّلَامُ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَةُ اللَّهِ وَبَرَكَاتُهُ
Kwa niaba ya uongozi na walimu wa shule, tunapenda kuwapongeza wazazi na walezi wote katika Sikukuu ya Eid Al-Adh’ha.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu awajaalie afya njema, rehma, amani na mafanikio katika familia zenu.
Asanteni kwa kuendelea kushirikiana nasi katika malezi mema na elimu ya watoto wetu.
عِيدُكُمْ مُبَارَك وَكُلُّ عَامٍ وَأَنْتُمْ بِخَيْرٍ