Darasa Huru La Kiroho Na Mwili

Darasa Huru La Kiroho Na Mwili ''JITAMBUE''

03/08/2026

Ushawahi kufanyiwa wema na mtu mpaka ukahisi labda yeye amejisahau, au mtu ambae unamuumiza lakini yeye anaamini kwenye kusamehe na kuwa "FAIR" muda, na ukahisi labda yeye ni asieumia au ni mpuuzi fulani asiekuwa na mamlaka ya kukufanya chochote kwa ulichomuudhi.

Watu hudhani watu hao hawana ubavu wala "demons" za kukuchanjana na wewe, na kuwachukulia watu simpo.

Watu hawa huwa hawaweki vinyongo, hawana muda wa kumshusha mtu zaidi hufurahia "KUPANDA KWAKO NA YEYE KUJIHISI NI MTU MUHIMU KWAKO"

Leo nitakupa Alama za watu hao, maana hatuwezi kuwajua kwa macho tu na matendo kwasababu, dunia ya leo kila mtu anatamani "WEMA" na ustaarabu ambao kimsingi haupo kwenye ualisia wake.

Watu hawa wanaweza kuwa wale waliozaliwa tarehe.( Ya mwezi wowote )

2. 6. 11. 15. 20. 24. 29.

K**a kuna mtu unamjua yupo hapa, basi "ISHI NAE KWA WEMA" maana huwa wana vipawa vya kuilaani safari yako ya maisha na ikawa.

Pia usisahau kuwasiliana nasi kwa changamoto au ushauri wa kiroho au kimwili kupitia
WhatsApp 0697 473 781
Au Piga 0611904187

03/08/2026

karibu kuwasiliana nami moja kwa moja kupitia namba hii kwa changamoto binafsi za mwili na kiroho ili upate kujifahamu zaidi ukiachilia mbali darasa zetu humu, unaruhusiwa kuja na swali au kitu ulichotamani kujifunza kwenye ulimwengu wetu huu.

Wasiliana nami:
0611904187

Au WhatsApp
0697 473 781

Kwa walioko ndani na nje ya nchi.

KUMBUKA, SIO CHANGAMOTO ANATAKIWA KUOMBWA USHAURI KILA MTU, BALI ZINGINE WAFUATE WATU WALIOTEULIWA KWA BARAKA ZA MUNGU ILI UWE SALAMA NA SIRI ZAKO NA KUPATA HUDUMA.

Karibuni.

03/08/2026

JE, NINI KIKWAZO CHA KUKUFANYA KUTOKUIAMURU PESA KUKUFIKIA AU KUUFIKIA UTAJIRI WA KIWANGO CHAKO..?

Uliwahi kusikia neno kuwa "PESA HAITAFUTWI , BALI INAAMURIWA KUKUFIKIA"

Je, kipi kikwazo chako, je, una vifungo mahali, je, Umewahi kumiliki pesa nyingi na hujui nini cha maana ulifanya.

Tunaomba Ushuhuda wako, huwenda ikawa siku yako ya "UFUMBUZI" wa kiushauri na kimsaada.

KARIBU , UNGANA NASI.

03/08/2026

Je, Leo Umeota Ndoto Gani, au Unasumbuliwa na Ndoto gani mara kwa mara ?

Unajua ndoto hio huleta Ishara gani kwenye mzunguko na kusudio lako la kimaisha?

Karibu ku-share nasi ili tujifunze pamoja.

Pia usisahau kuwasiliana nasi kwa changamoto au ushauri wa kiroho au kimwili kupitia
WhatsApp 0697 473 781
Au Piga 0611904187

01/08/2026

JINSI YA KUJUA KUWA MWAKA 2026 UNAWEZA KUKULETEA NINI.

CHUKUA TAREHE + MWEZI + MWAKA 2026

Mfano.
JUMA kazaliwa tarehe 2 mwezi wa 2.
utachukua 2 + 2 + 2026..

Kumbuka 2026 ni sawa na 2+2+0+6 = 10

Unajumlisha zote
2 + 2 + 10 = 14 ( 1 + 4 = 5 )

JUMA mwaka huu lengo lake limedondokea kwenye namba 5.. na 5 ni namba ya MABADILIKO..

Tafsiri yake.
Mwaka huu utakuwa wenye mabadiliko makubwa kwa juma, anaweza kubadilisha mazingira, kazi, uhusiano au hali alionayo.

PIA JINSI YA KUJUA MWEZI HUU WA NANE ULIOINGIA UNAENDA KUKUPA NISHATI AU MATOKEO GANI.

Tuendelee na mfano wa JUMA
Chukua tarehe tu bila mwezi wako wa kuzaliwa. tulisema juma amezaliwa tarehe 2 mwezi 2 lakini kwenye somo hili sisi tutachukua tu tarehe ya juma na wala sio mwezi wake wa kuzaliwa.

Tutachukua tarehe 2 tutajumlisha na mwezi huu ulioingia ambao ni mwezi wa 8.

Itakuwa
2 + 8 = 10 au ( 1 + 0 = 1 ) hapo tunapata namba 1 au 10
Hii inaashiria kuwa juma ataenda kumaliza tatizo au changamoto fulani la miaka mingi kwa mwezi huu wa 8.

Labda ameteseka sana kupata kazi, atapata kazi, au ameteseka na madeni basi ataenda kulipa madeni n.k

Endelea kutufuatilia kwenye darasa zetu hapahapa kwenye PAGE yetu.

Pia usisahau kuwasiliana nasi kwa changamoto au ushauri wa kiroho au kimwili kupitia
WhatsApp 0697 473 781
Au Piga 0611904187

01/08/2026

Hatufundishi uchawi ila k**a kufanya maombi yoyoyte kuhusu KAZI, PESA, UONGOZI.
Tumia saa au siku yenye namba hii.

8, 17, 26. 28.

K**a kweli unahitaji mali au pesa. shikilia hapo na kafara yake kubwa ni nywele. Inaeza kuwa ukanyoe nywele na ukimaliza unuie kitu kinachohusu pesa au kazi au pesa au ukaombe pesa saa 8 au siku ya 8 baada kuahidiana na mtu huyo.

Wakati mwingine namba ya simu inayoishia na 8.

Mfano.
0678432518

Namba hii nzuri kwa mipango ya pesa.

Pia usisahau kuwasiliana nasi kwa changamoto au ushauri wa kiroho au kimwili kupitia
WhatsApp 0697 473 781
Au Piga 0611904187

01/08/2026

INAWEZEKANA UNAISHI NA MWANAMKE NA HUJUI YEYE NI NANI NA NINI ANAPENDA KIASILI.. HIO INAWEZA KUPELEKEA KUTOKUELEWANA.

Leo ngoja nitoe siri zao kidogo... unaweza kushangaa😱

Tutatumia tarehe ili kupata majibu ya haraka.

1. WANAWAKE WALIOZALIWA TAREHE ( 1. 10. 19. 28. )
Huyu hakukitu anapenda k**a mafanikio, kushinda vikwazo, huitaji gharama nyingi kuwa nae, unahitaji mipango thabiti na ya kweli. Kiufupi hakikisha kichwa chako kina mipango endelevu.. hakikisha unatembea na ndoto. Hawapendi kuishi na mtu ambae haijui kesho yake wala haipambanii.. yaani yupo yupo tu.. Hapo utakuwa umemkosa na atakuacha kwasababu hata yeye anatembea na mipango yenye mafanikio kichwani. Matajiri wengi wa k**e wamezaliwa tarehe hizi. Ni watu walionyooka hawana konakona nyingi, huvaa ujasiri wa kiume pia kwenye maisha yao. Unakuta binti mrembo lakini anaendesha MALOLI YA MCHANGA au KONDAKTA WA DALADALA na wala hajali. Huyu hapendi wanaume MABISHOO na Anapenda wapambanaji. ( BE A PLANNER TO EARN HER LOVE )

2. WANAWAKE WALIOZALIWA TAREHE ( 2. 11. 20. 29. )
Hawa ni wanawake wanao endeshwa na hisia. Wanapenda mtu anayejali, anaewafanya wajione wapo dunia nyingine.. Kiufupi hupenda mtu muwazi anaejiunganisha nao kihisi na kiroho na kumfanya awe na furaha. Wanapenda mahaba sio tendo hapana namaanisha yale mambo ya mahaba mahaba. Vizawadi zawadi, out za hapa na pale. Yaani uwe mtu wa mahaba na kuwafanya wajihisi wapo dunia nyingine. Pesa sio sababu ya wao kukupenda.. bali vile wanavyojisikia kwako. Hawa wanaweza hata kutoa machozi kwenye nyimbo au muvi inayosikitisha. Kiufupi ukiwa mbabe mbabe huyu anakukimbia asubuhi tu. wanapenda mapenzi yenye urafiki ndani yake.
Natumai nimeeleweka.

3. WANAWAKE WALIOZALIWA TAREHE ( 3. 12. 21. 30 )
Aisee k**a wewe ni mwanaume mnyonge wa kutia tia huruma hawa hawakufai, kwanza ni wapenda stori, VIBE, kucheka, hawako BORED , wachangamfu muda wote, wanapenda masihara wanapenda furaha, kujichetua wakati mwingine. Anaweza kumpenda mtu sababu ya ucheshi wake tu, maana ndio vitu wanapenda.
Laikini ambacho hujui ni kwamba watu hawa wana kismati kwenye maisha yao. wanaweza kujuana na watu wa ngazi za juu hata akiwa yeye yupo chini kiasi gani. wana ushauri mzuri. wana maono makali.

4. WANAWAKE WALIOZALIWA TAREHE ( 4. 13. 22. 31. )
Hawa ni wanawake wanaopenda wanaume wachapakazi, tena kazi zenye kuleta matokeo chanya, hata wao ni wachapakazi sana, wakati mwingine hupata maradhi mbalimbali kutokana nakutumikisha mwili sana. Ni watu wenye kuleta mabadiliko ya haraka kiutendaji. Huvutiwa na mwanaume mwenye kusimamia misingi ya kazi. K**a mvivu, basi hawa unaweza kupishana nao pia.

5. WANAWAKE WALIOZALIWA TAREHE ( 5. 14. 23. )
Hawa wanapenda sana OUTs , KUSAFIRI , kwenda miji na mikoa mbalimbali, hawapendi vitu vilivyulia tu sehemu moja, wanapenda mabdiliko au kubadilisha kilichopo kuwa tofauti.. Kiufupi hawapendi SHERIA.. k**a upo nae punguza sheria sheria la sivyo mtaachana.
Pia ni wanawake wanaompenda mwanaume ambae ni MTUNDU KITANDANI, kiufupi KITANDA KWAO NI SILAHA ya kushinda GAME. ni mafundi na hufutiwa na mwanaume mtaalamu a S*X.
K**a upo na huyu kuwa makini kitandani, laa sivyo huko nje watakuwa wanamtumia, utaletewa mtoto si wako.

6. WANAWAKE WALIOZALIWA TAREHE ( 6. 15. 24. )
Hawa tunawaitaga MAMA MWENYE NYUMBA, yaani kukaa nyumbani kulea kuhangaika huduma za nyumba na ndoa huwa yeye sio tatizo. Ni mlezi mzuri wa FAMILIA, anapenda mwanaume anawekeza akili yake kwenye FAMILIA kiujumla.
K**a unatafuta WIFE MATERIAL basi jaribu hapa huwenda ukapata MKE wa kukutuliza k**a mama wa familia. Pia hupendwa na ndugu, huyu hata mkija wageni kila siku yeye anajisikia raha.

7. WANAWAKE WALIOZALIWA TAREHE ( 7. 16. 25. )
Hawa bhana wana habari nyingi lakini pia wana akiri sana, na huvutiwa na mtu mwenye uelewa wa hali ya juu au mtu mwenye kipawa cha uwelewa wa mambo.
Kwa ushauri tu, k**a upeo wako wa mambo au kufikiria au kuchambua mambo ni mdogo basi kaa mbali na hawa watu maana UTAKUJA KUSEMA MKEO ANAKUAONA HUNA AKIRI.
N i miongoni mwa wanawake wanaozama DEEP kwenye mambo, na hata hizi ELIMU ZA KIROHO wengi huzipenda sababu wanapenda KUFUKUA FUKUA MAMBO KIUNDANI..
Hata mimi navutiwa nao sana sababu akili zao zinawaza zaidi nje ya boksi kuliko VIJORA.

8. WANAWAKE WALIOZALIWA TAREHE ( 8. 17. 26. )
Hawa bhana wanapenda kuwa juu yaani kumpanda kichwani mwanaume kwao ni simpo tu ukiwa lege lege. Na mapenzi yao huwa mara nyingi yanaangalia STATUS na PESA, na CHEO fulani cha mwanaume.
Ukweli mchungu ni kwamba HUPENDA MALI SANA kwenye uhusiano wao japo wakati mwingine huficha hii hali na wako radhi kubadili mifumo yao kwa ajili ya mtu mwenye nguvu fulani.

9. WANAWAKE WALIOZALIWA TAREHE ( 9. 18. 27 )
Hawa ni wanawake wenye mvuto sana, yaani akipita sehemu mtastuka tu, na wanapenda urembo pia. Wao pesa kwao sio kipaombele kwa MWANAUME. kipaombele chao kikubwa ni MUONEKANO WA MWANAUME.
Ni wadhaifu wa wanaume HANDSOME, WALIOJAZIA VIFUA, WANAOVAA NA KUVUTIA, WENYE MUONEKANO MZURI .. hapo umemk**ata haijalishi unakipato au lah.
Huyu unaweza kumuhonga mamilioni lakini akaenda kutumia na mkaka mzuri huko mtaani na asijali.

NAWASILISHA

Pia usisahau kuwasiliana nasi kwa changamoto au ushauri wa kiroho au kimwili kupitia
WhatsApp 0697 473 781
Au Piga 0611904187

01/08/2026

Toa msaada kadri uwezavyo kwa watu wenye uhitaji k**a nitakutaja hapa, kwasababu wewe ni k**a waya ilionganisha mafanikio ya watu na wewe, yaani kupitia wewe watu watapata msaada wa haraka kujua wanaanzia wapi..

Ipo sababu ya wewe kuwa hivyo na ndio imeshaumbwa hivyo na mpango wa Mungu ulishakamilika. Tunaita hukumu yaani vitu vyote vimeshahukumiwa. Hata nyumba zimehukumiwa.

Mfano, nyumba namba 1, 3, 5 hizi zimehukumiwa kusapoti watu wanaoanza maisha na kujitafuta na wakijipata hujikuta wanapata nyumba namba 2, 4, 6. lakini k**a wanahitaji muunganiko wa kiroho zaidi na mafunzo fulani kwenye maisha basi watajikuta wapo kwenye nyumba namba 7. 9. 11,

Mfano.
Madalali hukumbana na misukosuko na sintofahamu wanapoingia biashara za kimauzo na nyumba zenye namba 8. 10 na 12. kwasababu nyumba hizi huwa mara nyingi zina migogoro ya urithi wa mali. Inaweza kuwa nyumba nzuri tu ila imeshindwa kuuzika,

Hapa ni sawa kuwataja watu hawa k**a daraja la wengine kufikia malengo na endapo watakiuka AGIZO hili basi MGANGA hawezi kutibu matatizo yako mpaka ukubakubali kuwa upo hapa duniani kwa lengo hilo.. NDIO MAANA KWAKO KUJUA TAASISI AU KUJUANA NA WATU WENGI MASHUGHULI NI KAWAIDA .. JE USHAJIULIZA KWANINI? jibu ni kwasababu wakija watu upate kuwaelekeza wanapostahili kwenda na wakifanikiwa na wewe umefanikiwa

Watu waliozaliwa tarehe
5, 14, 23.

Au wenye herufi ya kwanza ya jina linaloanza na
E. N. W.

Asanteni

Pia usisahau kuwasiliana nasi kwa changamoto au ushauri wa kiroho au kimwili kupitia
WhatsApp 0697 473 781
Au Piga 0611904187

01/08/2026

JE, NI KWELI UNASTAHILI MAFANIKIO.. AU ULIMWENGU UNALIPA KARMA ZAKO..?

Kila mtu zama hizi anatamani kutoka kwenye Vifungo, Mikwamo, na lawama Kimaisha na mitihani inayomkabili,

Swali ni Je, unatokaje na Nini chanzo Cha yote hayo.

Kwanza ujue, Kila hatua unayopiga mwanadamu NI nafasi ya kutengeneza au kurekebisha safari yako.

Unapoweka Deni na kudharau hatua na kuingia kwenye mitego itakayokudhuru wewe mwenyewe utajikuta una madeni ya matatizo yasoisha.

Na hapo utaua,
BIASHARA ZAKO
BAHATI ZAKO
NISHATI YAKO NZURI

Na kukalibisha mabalaa.

EGO Ni Adui mkubwa Sana wa mwanadamu na hii huuwa MAISHA yake yeye mwenyewe.

Habari njema Ni kwamba, KABLA HUJAROGWA, ULIANZA KUJIROGA WEWE.

Na habari mbaya Ni kwamba, BADO UNAENDELEA KUJIROGA PIA.

Bado unafanya Dhulma, Bado unaendelea kudharau watu.
Bado wewe ni kiburi usietaka kuona taa nyekundu ya MAISHA yako.

Bado umeingia kwenye Vifungo na minyonyoro.

Hii hufanya milango ya ulimwengu wa giza kufunguliwa kwenye MAISHA yako na kukubadilisha na kukupeleka inapotaka.

Unaweza kuzunguka kutafuta Tiba na ukajikuta umemaliza pesa nyingi bila MAFANIKIO.

Unapaswa kuangalia wapi unakosea. Na kuanza upya.

Maradhi na mikosi huanza na wewe.

Jirani hausiki
Mchawi hausiki
Ndugu hawahusiki
Majini hawahusiki
Mungu hausiki.
Bahari na mbingu havihusiki.

Ni nafsi yako ndio inahusika. Kaa chini uikanye iache dharau. Iache ujuaji, iache chuki, iache kila tabia yenye nishati chafu na kufungua mlango mpya utakaokupa nishati NZURI.

Pia usisahau kuwasiliana nasi kwa changamoto au ushauri wa kiroho au kimwili kupitia
WhatsApp 0697 473 781
Au Piga 0611904187

Watu ambao kiasili wanachangamoto za Uzazi au kuchelewa kupata watoto na hii huwanyima amani hata k**a kipesa wako vizur...
31/07/2026

Watu ambao kiasili wanachangamoto za Uzazi au kuchelewa kupata watoto na hii huwanyima amani hata k**a kipesa wako vizuri kiasi gani

Watu wanaoanza na herufi ya Jina lao
B. N. Z. H. T. C. O. I. U.

Au waliozaliwa tarehe ya mwezi wowote
2. 14. 26. 8. 20. 3. 15. 9. 21. 30. 27

K**a nimekutaja na unahuzunika kuchelewa basi jua tu Mungu anajua wewe si mlezi wa kupambana na changamoto za watoto hasa pale ndoto zako zinapokuwa hazija timia.. kila kitu kina sababu

Address

Gongoni
Tabora
45000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Darasa Huru La Kiroho Na Mwili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share