Fahamu nguvu yako Kiroho Na Kiulimwengu

Fahamu nguvu yako Kiroho Na  Kiulimwengu "Karibu ujiunge nasi kwenye Darasa zetu kwa Mafunzo Mbalimbali ya Kiroho na Kiulimwengu''
Wasiliana nasi kupitia:-
0611904187
Au WhatsApp: -
+255697473781

27/08/2026

Sambaza Link kwa wenye uhitaji wa kujifunza na kutafuta majibu ya maswali ambayo wamezeeka nayo kupata jibu

27/08/2026

Tuambie una changamoto gani ya kiroho na kiulimwengu huwenda ukasaidiwa.

Pia unaweza kuwasiliana nasi
WhatsApp
0697 473 781

17/08/2026

JE UNAIJUA NYOTA YAKO?

WEKA TAREHE NA MWEZI WAKO WA KUZALIWA KWENYE COMMENT UAMBIWE

12/08/2026

ILA NYOTA HIZI NI NYEPESI KUPOKEA VIFUNGO AU MIKOSI

SAMAKI
MBUZI
NG'E
PUNDA
MAPACHA
SIMBA

Au wenye herufi
L. J. H. A. C. E.

Au waliozaliwa tarehe
12. 10. 19. 28. 8. 17. 26. 1. 3. 30. 5.

Hawa huwa mambo yao yanagoma ghafla tu na hawajui shida ni nini au uadui ulikithiri bila kujua sababu au korogwa, na wengine kuota ndoto mbaya kila wakati k**a kung'atwa na nyoka. yaani giza linawafuata muda wote.

Wengi hata ndoa na mahusiano huwa ni changamoto, na wengi kuhisi k**a nyota zao zimechukuliwa.

Kwa Msaada unaweza kunitafuta.

WhatsApp
0697 473 781

Call/Sms
0611904187

08/08/2026

UKWELI MCHUNGU.

K**a jina lako linaanza na herufi
A. M. Y. D. P. F. R. G. S. H. T. K. W. L. X.

Wewe kwenye mapenzi unaangalia tu usalama wa moyo wako tu. mengine huwa unaamini yatapatikana tu kwenye upendo wenye ukweli. Na mara nyingi haupo kimaslahi kwenye mapenzi, na k**a mtu humpendi huwa unaamua tu kuwa misimamo yako kuwa humpendi na humtaki hata akuletee nini, na moyo wako ukitulia sehemu umetulia. Na mara nyingi mnaonekana mnaishi na wapenzi wa kawaida au wasiokuwa na mbwembwe yoyote.

Pia k**a nimekutaja hapo juu👆 basi kaa mbali na watu hawa chini 👇hasa linapokuja suala la MAHUSIANO na USHIRIKIANO wa kipesa au biashara, laa sivyo FURAHA kidogo na hUZUNI NYINGI kwenye maisha yenu.

Kaeni mbali na watu wenye herufi hizi,
B. N. Z. E. Q. I. U. J. V .

Watu hawa mara nyingi huangalia maslahi kwenye mapenzi, au mara zote penzi hulenga kitu pia. Wengi hujawa na majivuno hasa pale wanapojipata na ni viburi pia, hii hupelekea migogoro.

Penzi lao ni k**a wanaliuza kwa mtu mwenye vigezo ambavyo ni kinyume na kanuni ya asili ya UPENDO alioumba Mungu.

Maslahi ni wimbo wao wa kwanza, huangalia atafaidika nini endapo akiwa na wewe.

Wengi ni wanyonyaji wa maisha ya wengine, na ni waigizaji wazuri wa maisha kwa kuvaa uhusika usiowahusu.

Kwa k**a upo kundi la kule juu utakuja kuleta ushahidi kuwa , huwa kuna uzito mkubwa unapotongoza au kutongozwa na mtu huyu wa kundi la chini, sababu nishati zenu huwa ni tofauti.

Na hata mnapozaa kuna mbegu hupandikizwa kwa watoto ambayo mara nyingi huwa ni changamoto kwenye jamii, mnaweza kupata mtoto mwenye tabia za hovyo, ikiwemo UMALAYA, WIZI, JEURI, KATIRI, AU TABIA YOYOTE YENYE UTATA.

Na ni ngumu mtu wa kundi la kwanza kuishi kwa amani na mtu wa kundi la pili kwa amani.

PUNGUZA KUSEMA MAPENZI NA NDOA VINAKUTESA NA KUJIANIKA KWENYE MITANDAO KWA KULIA LIA KISA MAPENZI... FUATA SHERIA YA ULIMWENGU ILI KUJIWEKA SALAMA KWENYE MZUNGUKO WAKO WOTE WA KIMAISHA.

kujifunza nasi.

KARIBU TUJIFUNZE PAMOJA.
07/08/2026

KARIBU TUJIFUNZE PAMOJA.

07/08/2026

Kwenye sheria za kiroho, nishati ni kitu muhimu sana.

PAKA na MBWA na watoto wachanga huwa wanaona moshi wa nishati ( AURA ) ya mwanadamu.

Mfano.
Humu kuna watu wamejiunga ila hawafurahii kinachoendelea .. maana wanapambana na DEMON ( EGO ) zao... na yapo magroup wengine huleta hoja za kupotosha na wengine kublokiwa kwenye hizi darasa za kiroho.

Mfano k**a huo na roho k**a hizo bado mtu anahangaika kutoa mikosi na kuomba kufanya meditation na anasema mambo hayawi vile yalivyo.

Chuki, haifungui mlango wowote wa kiroho bali hujifungia wewe mwenyewe mambo yako.

Mataifa yote yanayoendelea hutumia sheria za KIROHO kuleta mabadiliko au mafanikio.

Mfano. Mtandao wa TWITTER ulikuwa unashuka kimauzo na kuleta matokeo tofauti..

Ikagundulika herufi ya "T" si yenye kudumu kwenye muingiliano wa kijamii.

Wabobezi wa masuala ya kiroho waligundua k**a unataka kutengeneza APPLICATION yoyote yenye muingiliano wa kimawasiliano na utakaowanya watu wautumie na kufunguka vile watakavyo bila kuhisi kikwazo chochote basi italazimika mitandao hio ianze na herufi.

L. X. F. R. K. W. E. Q.

Mmiliki wa kampuni na mtandao wa TWITTER akastuka akaita mtandao wake "X" ... najua hawezi kuweka wazi lakini kwa watu wenye muunganiko tulilijua hili.

Mfano.
FACEBOOK inafanya vizuri
LINKEDIN inafanya vizuri
mtandao wa Q wa wachina unafanya vizuri

Na k**a wewe ni kijana IT, PROGAMMER wa kutengeneza APP mbalimbali... au wewe ni mfanya biashara fulani.. tafuta watu wa KIROHO wenye elimu za siri za huu ulimwengu wakupe mawazo.

HAPA DUNIANI KILA PESA AU MPANGO UPO CHINI YA MUONGOZO WA KIROHO

Endelea kuungana nasi kwa darasa zetu zaidi.

07/08/2026

JE, NINI MAANA YA NISHATI KWENYE ELIMU YA KIROHO?

Nishati ni nuru inayozalishwa na nguvu ya matendo ya binadamu kiroho, hisia na kimwili, ambapo huwa ni zao amri kwa viumbe vingine hai.

Mtu anaposema mambo yangu hayaendi, hio ni ishara kuwa mfumo wake wa kinishati upo chini, au umechafuliwa kabisa na kushindwa kuamuru mambo.
Wakati mwingine nishati yako hukupa matekeo yale unayoyapata sasahivi, iwe kwa kuwapa watu nuru au giza.

Kuna watu huogelea nishati salama , kiasi kwamba wanawauwezo wa kukufanya ujisikie amani hata k**a hujazungumza chochote na yeye. Mtu huyo hutawaliwa na nuru inayoangaza furaha, mafanikio ambayo inaamuru kila kitu kwenye maisha yake na wanaomzunguka.

JE, WEWE UNAIJUA NISHATI UNAYOTOA KWA VIUMBE WENGINE,
JE, UMEKUWA UKIGOMBANA NA WATU MARA KWA MARA BILA SABABU
JE, NISHATI CHAFU IMEKUTENGENEZEA VITA KWA WATU USIOSTAHILI KUGOMBANA NAO..??

Ushajiuliza kwa unahisi mambo mabaya na kupelekeshwa na ROHO ya kuzimu ambayo imekuwa ikikutesa kila mara.

JE, NI KWELI WEWE NI MHARIBIFU WA AMANI KULINGANA NA NISHATI CHAFU UNAYOTOA KWA VIUMBE WENZIO??

Karibu kwa msaada zaidi..

07/08/2026

KWA WALE WOTE WENYE CHANGAMOTO ZA KIMWILI , VIFUNGO NA KIROHO NA MNAHITAJI UTATUZI AU MAWAZO AU KUPATA UKWELI KUHUSU HALI UNAYOPITIA , TAFADHALI UTANIPIGIA MOJA KWA MOJA KWENYE

HALOTEL: 0611904187

07/08/2026

Taarifa kuhusu Ijumaa ya Leo.. tar. 7/8

Leo ni mlango wa 7, ni siku nzuri ya kutafuta ufumbuzi hasa kwenye mambo ya kiroho, iwe uchumi, ndoa, na jamii inayokuzunguka ... siku imeangaziwa na namba 777 hii ni ishara nzuri kwenye kuamka KIROHO na KUFUNGUA vifungo, kwa wale wanaohisi wanahitaji ufumbuzi.

TAREHE 7
7 + 8 + 2026 SAWA NA 7 + 8 + ( 2+0+2+6 ) SAWA NA 7 + 8 + ( 10 )
SAWA NA 7 + 8 + ( 1 + 0 )
SAWA NA 7 + 8 + 1
SAWA NA 7 + 9 = 16
SAWA NA ( 1 + 6 = 7 )

Kwa hio leo ni mlango 7 au siku yenye nguvu ya nishati ya namba 7 ambayo namba hii lengo kuu ni kutunyanyua tulipo na kutupeleka juu zaidi.

Siku ni IJUMAA ambayo ni siku ya 7.

hapa unapata 7 ya tarehe 7 ya mlango wa siku na 7 ya siku ya IJUMAA.

Ni nini ufanye leo ili kuvuta nguvu unayotamani kukufuata.

CHUKUA GLASS AU KIKOMBE CHA MAJI, TAFUTA SEHEMU TULIVU.. Nuia mambo 7 unayotamani yatimie.. ukiwa umeshika glass hio ya maji kisha ukimaliza nawa usoni mara saba na unywe yaliobaki. kisa utashukuru kwa imani yako.

Unaweza kupokea nguvu na maombi yako kwa nguvu iliopo leo...

kutufuatilia kwa darasa zaidi

Address

Gongoni Primary School
Tabora
45000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fahamu nguvu yako Kiroho Na Kiulimwengu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share