24/05/2023
Karibu ujiunge na VICTORY HELTH AND ALLIED SCIENCES COLLEGE. Tunatoa kozi zifuatazo:
1. Diploma in Pharmaceutical Sciences.- Miaka 3
SIFA: Ufaulu wa kuanzia alama D nne na kuendelea ikiwemo Kemia na Biologia isipokuwa somo la dini- ADA NI 1,650,000
2. Diploma in Education Management and Administration- Miaka 2
SIFA: Wenye cheti cha ualimu grade III A- ADA NI 950,000
3. Diploma in Community Development - Miaka 3-
SIFA: Ufaulu wa kuanzia alama D nne na kuendelea isipokuwa masomo ya dini. ADA NI 950,000
4. Laboratory Assistant Grade I- III miaka 3.
SIFA: Yoyote aliyehitimu kidato cha nne. ADA NI 950,000
HOSTEL NI BURE KABISA
Tupo manispaa ya Tabora.
Tupigie simu namba 0626 579 274 /0628 258 844 maelezo zaidi. Wote mnakaribishwa🙏
08/02/2023
VICTORY HEALTH AND ALLIED SCIENCES COLLEGE ni chuo kinachotoa mafunzo ya elimu ya Kati yenye ubora wa kumuwezesha muhitimu kujiajili na kuajiriwa. Chuo kina usajili wa NACTVET namba REG/HAS/209.
Chuo kinatangaza nafasi za masomo kwa mkupuo wa March 2022/2023 (March intake) katika kozi zifuatazo:
1. Diploma in Community Development-NTA level 4-6 Kwa muda wa miaka 3
SIFA: Ufaulu wa kuanzia alama D Nne na kuendelea kwa somo lolote isipokuwa somo la dini.
2. Diploma in Education Management and Administration- NTA level 5-6 kwa muda wa miaka 2
SIFA: Walimu waliohitimu ngazi ya cheti (Grade IIIA)
3. Laboratory Assistant - NVA-level I - III
SIFA: Yoyote aliyehitimu elimu ya Sekondari kidato cha nne.
Chuo kipo Manispaa ya Tabora-Inala.
Kwa maelezo zaidi tupigie simu namba 0626579274
0623771943
Au tembelea tovuti yetu www.vihasco.ac.tz
25/08/2022
Utajiona mwenye bahati ukifanikiwa kujiunga na chuo cha VICTORY HEALTH AND ALLIED SCIENCES COLLEGE,
KOZI ZITOLEWAZO NI
1. DIPLOMA IN PHARMACEUTICAL SCIENCES- Miaka 3
2. DIPLOMA IN COMMUNITY DEVELOPMENT- Miaka 3
3. DIPLOMA IN EDUCATION MANAGEMENT AND ADMINISTRATION - Miaka 2
Tuna nafasi za kuhamia NTA level 5.
Kwa wale waliowahi kusoma NTA level 4 wanaweza kuendelea na level 5 hapa chuoni kwetu.
1. Tunazingatia kutoa Elimu bora itakayokufanya uweze kukidhi soko la ajira.
2. Ada zetu ni nafuu na hautobugudhiwa katika ulipaji
3. Hatuna historia ya kumfukuza mwanafunzi kwa sababu ya kukosa ada.
4.Tuna hostel nzuri, za kutosha na ni za kisasa.
5. Mazingira safi kabisa kwa kujisomea.
6. Vifaa na miundombinu ya kutosha.
7. Walimu waliobobea katika ufundishaji na mengine mengi yatakayokufanya ujiskie vyema kusoma Victory Health and Allied Sciences College Tabora.
Muda wa kutuma maombi ni sasa kupitia www.vihasco.ac.tz. au tupigie simu namba :
0626 579 274.
0623 771 943
22/08/2022
Utajiona mwenye bahati ukifanikiwa kujiunga na chuo cha VICTORY HEALTH AND ALLIED SCIENCES COLLEGE,
1. Tunazingatia kutoa Elimu bora itakayokufanya uweze kukidhi soko la ajira.
2. Ada yetu ni nafuu na hautobugudhiwa katika ulipaji
3. Hatuna historia ya kumfukuza mwanafunzi kwa sababu ya kukosa ada.
4.Tuna hostel nzuri, za kutosha na ni za kisasa.
5. Mazingira safi kabisa kwa kujisomea.
6. Vifaa na miundombinu ya kutosha.
7. Walimu waliobobea katika ufundishaji na mengine mengi yatakayokufanya ujiskie vyema kusoma Victory Health and Allied Sciences College Tabora.
Muda wa kutuma maombi ni sasa kupitia www.vihasco.ac.tz. au tupigie simu namba :
0626 579 274.
0623 771 943
26/07/2022
Bado tunaendelea kupokea maombi ya kujiunga na chuo chetu katika fani ya PHARMACEUTICAL SCIENCES ngazi ya Diploma, utapata utaamu wa kutosha ndani ya miaka 3
SIFA: Ni pass D nne na kuendelea ikihusisha Chemistry na Biology
ADA: 1,500,000 na ulipwa kwa awamu nne
Tuma maombi kupitia www.vihasco.ac.tz
Tupigie: 0626579274/ 0623771943
TUPO MANISPAA YA TABORA
16/07/2022
BADO UNA NAFASI
Jiunge na chuo kitakachokutimizia ndoto yako ya kuwa mfamasia mwenye kukidhi viwango vya Kitaifa na Kimataifa , ni VICTORY HEALTH AND ALLIED SCIENCES COLLEGE.
SIFA
=Ufaulu wa angalau alama D nne ikiwemo CHEMISTRY na BIOLOGY
Jiunge kupitia Tovuti yetu ya www.vihasco.ac.tz Bonyeza APLY NOW
au tupigie namba :
0626579274
0623771943
09/07/2022
KARIBU VICTORY HEALTH AND ALLIED SCIENCES COLLEGE UJIUNGE NA KOZI YA FAMASIA KWA NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA ,DIRISHA LA UDAHILI LIKO WAZI SASA.UTAPATA KUFAHAHAMU:
1. Kuhusu mwili wa Binadamu ulivyo na jinsi unavyofanya kazi.
2.Magonjwa aina tofauti, jinsi yanavyoenezwa, dalili zake na namna ya kutibu magonjwa hayo
3.Utasoma DAWA kwa undani zaidi
4.Utajifunza kutengeneza dawa
5.Utajifunza namna DAWA zinavyofanya kazi
6. Matumizi sahihi ya DAWA
NI KOZI YENYE SOKO KUBWA LA AJIRA NA HAYA NI BAADTHI YA MAENEO AMBAYO UNAWEZA KUFANYA KAZI BAADA YA KUHITIMU MASOMO YAKO:-
=Hospitali
=Famasi za jumla na reja reja ( Maduka ya Dawa na Vipodozi)
=Kwenye viwanda vya kutengeneza dawa, kwa mfano Tanzania tuna viwanda k**a SHELYS,ZENUFA, MANSONDAY n.k
=TMDA, hii ni mamlaka iliyoko chini ya serikali inayohusika na usajili wa DAWA na vifaa Tiba nchini, kupambana katika uthibiti wa madhara ya dawa baada ya matumizi na kuingizwa kwa dawa sokoni (Pharmocovigilence)
=Katika Baraza la Famasi lililoko chini ya Serikali kupitia Wizara ya Afya linalohusika na kusajili Famasi, Maduka ya dawa, Wataalamu wapya na kusimamia taaluma ya Famasi nchini.
ADA ZETU NI NAFUU SANA UKILINGANISHA NA WENGINE,
'1,500,000' TU na utalipa kwa AWAMU NNE
TUMA MAOMBI YAKO KUPITIA www.vihasco.ac.tz
au TUPIGIE
=0626579274
=0623771943
09/07/2022
KARIBU VICTORY HEALTH AND ALLIED SCIENCES COLLEGE UJIUNGE NA KOZI YA FAMASIA KWA NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA
UTAPATA KUFAHAHAMU:

02/07/2022

NI KOZI YENYE SOKO KUBWA LA AJIRA NA MAENEO YA KUFANYA KAZI NI
=Hospitali
=Famasi za jumla na reja reja ( Maduka ya Dawa na Vipodozi)
=Kwenye viwanda vya kutengeneza dawa, kwa mfano SHELYS,ZENUFA, MANSONDAY n.k
=TMDA, hii ni mamlaka iliyoko chini ya serikali inayohusika na usajili wa DAWA na vifaa Tiba nchini, madhara ya dawa baadae na kuingizwa sokoni (Pharmocovigilence)
=Katika Baraza la Famasi lililoko chini ya Serikali kupitia Wizara ya Afya na wanahusika kusajili Famasi, Maduka ya dawa, Wataalamu wapya na kusimamia taaluma ya Famasi nchini.
ADA ZETU NI NAFUU SANA UKILINGANISHA NA WENGINE
1,500,000 TU na utalipa kwa AWAMU NNE
TUMA MAOMBI YAKO KUPITIA www.vihasco.ac.tz
au TUPIGIE
=0626579274
=0623771943
26/06/2022
JE, UNA SIFA ZA KUJIUNGA NA KOZI YA FAMASIA NA BADO UNASHINDWA KUJUA UANZIE WAPI?
NI RAHISI, JIBU WHATSAP KWA TAARIFA ZIFUATAZO ILI UWEZE KUSAJILIWA HARAKA:
-MAJINA YAKO KAMILI
-NAMBA YA SIMU
-NAMBA YA MTIHANI NA MWAKA ULIOMALIZA KIDATO CHA NNE
-TAREHE, MWEZI NA MWAKA WA KUZALIWA
-JINSIA YAKO
-SHULE YA MSINGI ULIYOSOMA
-WILAYA NA MKOA UNAOISH
-ANUANI YAKOI
-URAIA WAKO
-EMAIL YAKO
-JINA LA NDUGU YAKO WA KARIBU NA UHUSIANO WAKO NA YEYE
TUPIGIE SIMU KWA MAELEZO ZAIDI
-0626579274
-0623771943
17/06/2022
VICTORY HEALTH AND ALLIED SCIENCES COLLEGE ni Chuo chenye usajili wa NACTVET namba REG/HAS/209, Tunatoa kozi ya Pharmaceutical Sciences ngazi ya Diploma kwa miaka mitatu yaani NTA Level 4,5 na 6.
Sasa tunapokea maombi ya kujiunga kwa wale wanaotarajia kuanza masomo mkupuo wa September 2022/2023.
Sifa za mwombaji ni awe na ufaulu wa kuanzia alama D na kuendelea kwa masomo manne ikihusisha Chemistry na Biology.
Tupo Manispaa ya Tabora-Inala
Tupigie simu namba zifuatazo upate maelezo zaidi:
0626579274
0623771943