01/02/2024
PHOTOCOPY MPYA 2024
✍️Leo Mkuu wa shule Mwl Mariam J. Salumu kwa kushirikiana na Mwenyekiti k**ati ya shule, walimu na wanafunzi wamepokea Photocopy machine mpya kutoka Kwa Mmiliki wa CHUO CHA SANT MAXCIMILLIAN Madame E. Nkonyoka.
✍️Mkuu wa shule amesema kwa upatikanaji wa machine hii utaongeza ufaulu kwa kuwa watafanya mazoezi ya kutosha