Mazwi Secondary School-Alumni

Mazwi Secondary School-Alumni

Comments

Mr. O.C. Tenda, naomba kirefu cha majina ya mwanzo
A New era and generation Mazwi sec (2016...)
Tunawakumbuka mwl kakwaya(mwalim aliefufua history mazwi) history,mwalim julius(mtaalam wa commerce alieifikisha mazwi kuwa ya 13 kitaifa mwaka 2020),mwl mwakamwelo(b-keeping na accountant),mwl tembo(mwl wa physics aliifikisha mazwi nafasi za 40-50 kitaifa miaka ya 2016-2019)madam mbenan(chemistry),madam kipesha(biology),mwl beda(biology),mwl mwashyombo,sister msulwa,lazaro(geography),mwl kulije geography and discipline master,mwl nyami b-maths,damian mchaga computer lab, mwl sabuni civics.mwl kasolongo chemistry(part timer). mwl mbuluma na madam achireka kiswahili,mwl hassan michezo na literature.mwl mwakafwila literature,mwl jackson histry,madam felister na mwezimpare english,mwl dominic (b/k na makamu-RIP) head master mwaibingila.........na wengneo
a
Mazwi secondari ni daraja katika kufikia malengo yako.
Wana mazwi nimewamic xn teachers wt
usk mwema
MAZWI,MJINI
Jipatie t-shirts bomba form 6 kwa tsh 7000 pmojaa na kuprint pia kwa t shirt Za shule tunaprint kwa tsh 1000tu karibuni tunapatikana njia panda itende mbeya mawasiliano yetu ni 0672308060 au0744773486 asanteni!
Jipatie t-shirts bomba form 6 kwa tsh 7000 pmojaa na kuprint pia kwa t shirt Za shule tunaprint kwa tsh 1000tu karibuni tunapatikana njia panda itende mbeya mawasiliano yetu ni 0672308060 au0744773486 asanteni!

Jamani tunahitaji kukumbuka tulikotoka na kurudisha fadhila kidgo kwa shule yetu iliyotusaidia tuwe hapa tulipo leo! Please join me!

06/10/2014

Mazwi Secondary School-Alumni's cover photo

Untitled Album 04/11/2013

Untitled Album

23/10/2013

Timeline Photos

[01/15/13]   Wako wapi Class ya 1991-94 Alumini hawa, Martini Walichupa; Deo Msigwa; Gaspar Kizya; Mohamed Abdallah, Hemedi Abdallah(Hamid); Khalfan; Amos Neneje;Liberatus Suwi; Kenedy Mwanyanje; Francis Kapembwa; Nestory Andrea (aka Itutu Kigi); Edwin Kantalamba; Anna Mbawe, Lydia Pesa, Tausi Khamis, Maimuna Nacha (Lulu Mohamed) Ifrah Abdillahi; Khatra Ally; Eva Magrolio; Joyce Kauzeni;Sikujua Demello; Daniel Mwangi; Samwel Mwangi; Datus Pius Bazunga, Richard Amon; Patrick Lungwa; Patrick Nyasio; Jenus Kasunga; Federica Sungura; Mawazo Issa, Godwin Kisapa, Agatha Shayo; Anthony Chanzi; Jamila Mohamed; Isabella Wilson; Philbert, Moses Jimmy Swebe; Joseph Kalyalya; Joseph Vungola; Martin Kanoni; Jane Magessa; Jane Jumbe; Yusta Mwatwinza;Anna Nguvumali; na wengineo wengi..... weka habari zao hapa

[06/29/12]   Jamani mnawakumbuka Walimu wetu hawa? Mwalimu Daniel Shipela aka Model (Kiswahili & English); Mwl William (Commerce and Bookeeping); Mwl Mwanajela aka Babu (English Teacher-Swahili speakers and the card); Mwl Mwanakulya-Chemistry teacher and Discipline Mistress; Mwalimu Shirima-Chemistry and Mathematics teacher; Mwl Konga-Physics and Mathematics teacher; Mwl Ngusa-Physics and Mathematiccs teacher; Mwl Chiwanga-English teacher; Mwl Zunda aka Kanka- History teacher; the late Mwl Sikazwe-PE teacher; Mwl... guys I have forgotten names of our other teachers can somebody enumerate the other names of the these people who shaped our lives? Do you people think I have forgotten our then Head Master Mzee Yamsebo? and for other MWl Maufi?; Mwl Mpemba our famous Bilology teacher, Mwl Nkondo our famous Geography and history teacher; Mwl Chang'a our famous Kiswahili teacher guys put in more names and lets discuss and talk about how these important people shaped our lives and what do we attribute to them in our lives?

[02/04/12]   Jamani karibuni kwa mawasiliano hapa yanayohusu Shule yetu hii! mwaweza kuweka picha zenu za shule hapa. na kutoa maoni namna tunavyoweza kurudisha fadhila kwa shule yetu hii kwa kuchangia maendeleo ya kitaaluma na michezo!

Location

Category

Address

P.O. Box
Sumbawanga
Other Sumbawanga schools & colleges (show all)
Paradise business college Paradise business college
Rukwa
Sumbawanga

We provide a better education with a better career

KANDA Secondary School KANDA Secondary School
MAZWI-WARD
Sumbawanga

Community Secondary school -I Sumbawanga,Mazwi ward