High-View International School of zanzibar

High-View International School of zanzibar High view school page for alumni, friends and teachers

29/01/2023
17/11/2022

Kuchukua Form ni Sh. 10,0001-. Kurejesha Form kwa ajili ya Usajili ni
Sh. 150,000/- pia usajili kwa wanafunzi wa Advance ni Sh. 150,000/-
2. Malipo ya wanafunzi hulipwa kamili bila ya kuzingatia mapumziko ya aina yoyote. Mzazi anatakiwa awe ameshakamilisha malipo mwishoni mwa mwezi wa tisa (Septemba)
3. Ada ya mwanafunzi wa Nursery kwa mwaka Sh. 720,000/-. Ada ya mwanafunzi wa Primary kwa mwaka Sh. 850,000/-. Ada ya mwanafunzi wa
Secondary FI - F4 kwa mwaka ni Sh. 1,000,000/-. Ada ya wanafunzi wa
Advance kwa mwaka inakuwa ni Sh. 1,600,000/-.
4. Ada ya masomo katika muda wa ziada kwa Form 4 ni 100,000/- kwa miezi tano (5) na malipo ya kambi ni Tsh 200,000/- kwa mwezi (miezi 6).
5. Ada ya masomo katika muda wa ziada kwa Form 3 ni Sh 180,000/- kwa mwaka (miezi tisa). Form 2 ni Sh 120,000/- kwa mwaka (miezi sita) na darasa la saba (Grd 7) ni Sh 80,000 kwa mwaka (miezi minne)
6. Kwa wanafunzi wa Nursery, wanatakiwa kulipa Sh. 50,000/- kwa ajili ya stationaries atakazotumia mwanafunzi kwa mwaka mzima.
7. Kuanzia darasa la kwanza hadi Torm 6, wanatakiwa kulipa Sh. 40,000/-kwa ajili ya stationaries watakazotumia kwa mwaka.
8. Beji ya Skuli ni Sh 2,500/-. Na nguo za sports kwa wanafunzi wa Nursery hadi darasa la tatu ni Sh. 45,000/-. Fulana za "housing" ni Sh 20,000/-
Ada ya usafiri wa Skuli ni Sh. 450,000/- kwa mwaka. Malipo haya ni kuanzia mwezi wa Januari hadi Oktoba. Na malipo haya hulipwa kwa awamu moja, mbili au tatu.

30/04/2021
23/12/2020

High-view international school announces that new 2021 student forms are ready from Kinda garden to Advance level available in our school building Chukwani near to the (new) House of Representatives of Zanzibar. Thank you

We have done it mashallah!!!!
21/08/2020

We have done it mashallah!!!!

Address

Stone Town

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255773939999

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when High-View International School of zanzibar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share