Elezo huru news

Elezo huru news News

K**a unahisi ni rahisi njoo uvae na wewe
14/11/2023

K**a unahisi ni rahisi njoo uvae na wewe

Kila lenye mwanzo hakika linamwisho
14/11/2023

Kila lenye mwanzo hakika linamwisho

Kwani alimuona nani? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
06/11/2023

Kwani alimuona nani? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Jipendelee
04/11/2023

Jipendelee

Anko k**a anko
01/11/2023

Anko k**a anko

Jini katoka lkn kiti  yuhoi ๐Ÿ˜‚
07/10/2023

Jini katoka lkn kiti yuhoi ๐Ÿ˜‚

Simba tumekutana na my zetu
07/10/2023

Simba tumekutana na my zetu

Ili yanga asifuzu robo  inabidi katika hili group awepo na IHEFU
07/10/2023

Ili yanga asifuzu robo inabidi katika hili group awepo na IHEFU

Na sisi tutaingia kwenye kitabu cha historia
27/09/2023

Na sisi tutaingia kwenye kitabu cha historia

Unammjua nani hapo?
21/09/2023

Unammjua nani hapo?

โœAkiwa  Farabat michezo 112 aliruhusu magoli  97 lakini  hatuwezi  kumuhukumu kuwa ni kipa  mbovu, kwa mwenendo huu huwe...
17/09/2023

โœAkiwa Farabat michezo 112 aliruhusu magoli 97 lakini hatuwezi kumuhukumu kuwa ni kipa mbovu, kwa mwenendo huu huwenda mashabiki wa Simba wakammisi mapema mno Aishi S. Manula.

โœKwa kweli,muendelezo Mzuri wa Yanga unaonesha wazi kuwa wamedhamiria jambo ukiacha na ile kauli yao kuwa target ni grou...
17/09/2023

โœKwa kweli,muendelezo Mzuri wa Yanga unaonesha wazi kuwa wamedhamiria jambo ukiacha na ile kauli yao kuwa target ni group stage.
โœK**a umefuatilia vyema mchezo wa jana utakubaliana na mimi kuwa matumizi ya nguvu kwa Almerekh yalikkuwa ni makubwa na kwa vile uwanja haukuwa rafiki sana kwa pasi mpenyezo lakini waliutumia vyema.
โœ k**a yanga watacheza kwa nidhamu hii kwa kila mchezo basi ni wazi kuwa katika michuano hii ya club bingwa tutaiona katika nchi ya ahadi.
Nani kakufurahisha jana?

Address

Kwerekwe
Stone Town
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elezo huru news posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Elezo huru news:

Shortcuts

Share