23/09/2021
*๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟNi jumapili ya furaha, jumapili ya kujenga umoja na mshik**ano wa lwati sekondari product, unapangaje kukosa ni siku ya jumapiลi ya tarehe 26-9-2021, kuaรฑzia saa nane mchana, ni ndani ya group la whatsapp na facebook la lwati sekondari product, ambapo tutachagua viongozi wa kuhamisisha maendeleo ya kundi letu๐๐๐๐
Hapa sasa kutakuwa na chakula bure kabisa unakosaje kwa Mfano.......
Ujumbe::: WEKA BANDO UFRAHIE SIKU YA JUMAPILI, dj atakuwa dj Aman na mc atasimama mc mwawela๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ*