Niache Nisome

Niache Nisome Kampeni Ya Niache nisome imeanzishwa 2017 chiniya Ubunifu Maridadi Foundation

Mungu alikua na Maana kubwa kuuficha moyo nyuma ya kifua, na huwenda angeweka akili nje ya ubongo, ama kungekua na Mnada...
06/10/2023

Mungu alikua na Maana kubwa kuuficha moyo nyuma ya kifua, na huwenda angeweka akili nje ya ubongo, ama kungekua na Mnada wa Maarifa basi wenye nguvu wange zichikua.

  Ya Viwanda, Mwanamke ni Chanzo cha mabadiliko Na maendeleo ya Kiuchumi.   2017 .tz tunakutana katika viwanja vya Mjimw...
04/03/2017

Ya Viwanda, Mwanamke ni Chanzo cha mabadiliko Na maendeleo ya Kiuchumi. 2017 .tz tunakutana katika viwanja vya Mjimwema Songea Tutakua hapo katika uelimishaji kupitia kampeni zetu za na # MiminaMti ni ndani ya manispaa ya Songea mjini Usiache kusogelea Banda la UMF kwakujifunza zaidi, Kua wa kwanza sapoti Project ili ianzie kwa mwanao, ndugu,rafiki hata mtoto wa jirani yako

Viongoz wangu keep a good work
02/03/2017

Viongoz wangu keep a good work

Tukielekea katika maadhimisho ya siku Ya mwanamke duniani ambayo huanza tar 01 march na kilele chake ni tar 08 march, Kw...
24/02/2017

Tukielekea katika maadhimisho ya siku Ya mwanamke duniani ambayo huanza tar 01 march na kilele chake ni tar 08 march, Kwa Pamoja tuwe mfano katika jamii tunayoishi Kwa Kupanda mti na Kutunza mazingira husika, Nimeanza mimi, Ukifuatia wewe kisha muamasishe na mwingine Mama hata dada kwani tunasema na kuamini "Tanzania Ya Viwanda, Wanawake ni msingi wa Mabadiliko Kiuchumi" .tz

22/02/2017

Tetea thamani ya Mtoto wa k**e, tetea haki ya kupata elimu bora , tetea taa iangazayo kwa maisha yake  # ELIMU kamwe usi...
21/02/2017

Tetea thamani ya Mtoto wa k**e, tetea haki ya kupata elimu bora , tetea taa iangazayo kwa maisha yake # ELIMU kamwe usimuache kwani ni sasa si baadae anastaili ayaishi maisha ya kesho .tz tofollow sasa.

  Ni elimu pekee yaweza kumkomboa
20/02/2017


Ni elimu pekee yaweza kumkomboa

Taifa la leo hudhihirika sasa,Nguvu ya kuipigania kesho iko sasa ni vipi ninaitazama kesho yangu ,Elimu kwangu ndio nuru...
19/02/2017

Taifa la leo hudhihirika sasa,Nguvu ya kuipigania kesho iko sasa ni vipi ninaitazama kesho yangu ,Elimu kwangu ndio nuru ya kesho yangu Niangazie leo ning'are kesho pia .tz

Hudhihirisha Mwangaza bora wenye furaha ya maisha yake,Lakin naamini Nguvu Ya Maisha yake ya kesho Iko mikononi Mwako Mz...
18/02/2017

Hudhihirisha Mwangaza bora wenye furaha ya maisha yake,Lakin naamini Nguvu Ya Maisha yake ya kesho Iko mikononi Mwako Mzazi/Mlezi Leo unapo amua kiitunza vema ili aifurahie kesho, By .tz tufolow kupitia instagram now

Shukrani kwa sapot yako
18/02/2017

Shukrani kwa sapot yako

Address

Ubunifu Maridadi Foudation
Songea

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Niache Nisome posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Niache Nisome:

Shortcuts

Share