Hefota Open School

Hefota Open School Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hefota Open School, School, Mbagara/Kilungule, Sinza.

HEFOTA OPEN SCHOOL ni shule huria tunafundisha CHEKECHEA ha kido cha Sita Tupo Mbagara Kilungule Dar es Salaam Tanzania but hata mikoani tunampango wa kuweka Shule pia

20/04/2025

HABARI MDAU!

HEFOTA OPEN SCHOOL
1. Elimu ya Awali (Chekechea) na Msingi (Primary)
Ada: Tsh. 10,000/= tu
2. Sekondari (SEC)
Ada: Tsh. 20,000/= tu
3. Wanaorudia Mtihani wa Taifa (Form 2, 4, 6 – QT & Re-seaters)
Ada: Tsh. 300,000/= kwa mwaka

4. Kozi Maalum:
(a). English Course: Tsh. 30,000/= kwa mwezi.
(b). Computer Course: Tsh. 20,000/= kwa Program Program Zipo 7.

KWA MAELEZO ZAIDI NJOO DM. AU
SIMU NA WHATSAPP 0784-390819

HABARI MDAU!HEFOTA OPEN SCHOOL(Elimu kwa Wote, Mahali Popote)Tunapenda kukujulisha kuwa tulikuwa likizo kuanzia 26.03.20...
06/04/2025

HABARI MDAU!
HEFOTA OPEN SCHOOL
(Elimu kwa Wote, Mahali Popote)

Tunapenda kukujulisha kuwa tulikuwa likizo kuanzia 26.03.2025 na tutafungua rasmi tarehe 08.04.2025.
Kwa mujibu wa ratiba ya Serikali, shule zitafungwa tarehe 11.04.2025.

Tunapokea wanafunzi wapya kwa huduma zifuatazo:

1. Elimu ya Awali (Chekechea) na Msingi (Primary)

Ada: Tsh. 10,000/= tu

2. Sekondari (SEC)

Ada: Tsh. 20,000/= tu

3. Wanaorudia Mtihani wa Taifa (Form 2, 4, 6 – QT & Re-seaters)

Ada: Tsh. 300,000/= kwa mwaka

4. Kozi Maalum:

English Course: Tsh. 30,000/= kwa mwezi

Computer Course: Tsh. 20,000/= kwa Program

Ujasiriamali kwa Vikundi: Tsh. 10,000/= kwa kila mwanachama – Mafunzo ni ya siku 3

5. Masomo Mtandaoni

Fomu ya kujiunga: Tsh. 5,000/= tu

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi au kujiunga:
WhatsApp & Simu: 0784 390 819

Karibu HEFOTA OPEN SCHOOL – Kujifunza Hakuna Kikomo!

MADHARA YA WATOTO KWENDA BEACHWatoto wanaweza kufurahia kwenda beach k**a Cocobeach au Ulongoni Beach, lakini kuna madha...
15/03/2025

MADHARA YA WATOTO KWENDA BEACH

Watoto wanaweza kufurahia kwenda beach k**a Cocobeach au Ulongoni Beach, lakini kuna madhara yanayoweza kutokea ikiwa hatua za tahadhari hazitachukuliwa. Madhara hayo ni pamoja na:

1. Madhara ya Kiafya

Maji machafu: Maji ya bahari yanaweza kuwa na uchafu, bakteria, au kemikali zinazoweza kusababisha magonjwa ya ngozi, macho, na tumbo.

Jua kali: Kuungua na jua (sunburn) kunaweza kusababisha madhara ya ngozi na kuongeza hatari ya saratani ya ngozi baadaye maishani.

Homa na mafua: Maji baridi yanaweza kusababisha watoto kupata homa au mafua ikiwa watakaa kwa muda mrefu ndani ya maji.

2. Hatari za Kimazingira

Kuzama majini: Watoto wadogo wako hatarini kuzama ikiwa hawatakuwa chini ya uangalizi wa karibu. Mawimbi makali au mikondo ya bahari inaweza kuwavuta ndani.

Viumbe hatari: Baharini kuna viumbe k**a jellyfish, kaa, na tumbi (sea urchins) ambao wanaweza kuuma au kudunga watoto.

Vifaa vya baharini: Sehemu fulani za pwani zina takataka k**a chupa za kioo, misumari, au plastiki ambazo zinaweza kujeruhi watoto.

3. Madhara ya Kijamii na Kimaadili

Tabia zisizofaa: Katika baadhi ya fukwe, kuna watu wanaojihusisha na matumizi ya vilevi au tabia zisizofaa kwa watoto.

Uharibifu wa mazingira: Watoto wanaweza kutupa taka ovyo na kuchafua mazingira ikiwa hawatafundishwa umuhimu wa usafi wa fukwe.

Tahadhari Muhimu

Kuwa na uangalizi wa karibu kwa watoto muda wote.

Kuwapa watoto vifaa vya usalama k**a maboya (life jackets).

Kuepuka kwenda beach wakati wa mawimbi makali au hali mbaya ya hewa.

Kutumia mafuta ya kujikinga na jua (sunscreen) ili kuzuia madhara ya jua kali.

Kuhakikisha watoto hawanywi au kumeza maji ya bahari.

Kuwafundisha watoto umuhimu wa kutunza mazingira kwa kutotupa taka ovyo.

Cocobeach na Ulongoni Beach ni wapi?

Cocobeach ipo jijini Dar es Salaam, eneo la Oysterbay. Ni maarufu kwa mapumziko, mikusanyiko ya vijana, na biashara ndogondogo.

Ulongoni Beach ipo Kigamboni, Dar es Salaam. Ni sehemu tulivu zaidi, maarufu kwa familia na watu wanaotafuta mazingira ya asili yenye utulivu.

05/03/2025
πŸ“’ HEFOTA OPEN SCHOOL πŸ“’πŸ“ TAARIFA KWA WATAHINIWA WA KUJITEGEMEA (QT & RESEATERS) – MTIHANI WA TAIFA KIDATO CHA NNE 2025Una...
05/03/2025

πŸ“’ HEFOTA OPEN SCHOOL πŸ“’

πŸ“ TAARIFA KWA WATAHINIWA WA KUJITEGEMEA (QT & RESEATERS) – MTIHANI WA TAIFA KIDATO CHA NNE 2025

Unakumbushwa kuwa tarehe 28.02.2025 ilikuwa mwisho wa kujisajili kwa hiari kwa ajili ya kufanya mtihani huo.

πŸ“Œ MUHIMU: Kuanzia leo hadi tarehe 31.03.2025 ni kipindi cha kujisajili kwa PENALTY. Hii ni nafasi muhimu, usikose!

πŸ‘‰ Fanya haraka, jisajili sasa kupitia HEFOTA OPEN SCHOOL na jiandae kwa mafanikio makubwa katika mtihani wa taifa!

Kwa maelezo zaidi, tembelea: www.HEFOTA.AC.TZ
πŸŽ₯ Follow us on TikTok TV | YouTube Channel: HEFOTA TV

πŸ“ž Piga simu au WhatsApp: [0784 - 390819]

Karibu HEFOTA OPEN SCHOOL kwa huduma bora za elimu!

HAJA YA MJA HUNENA MUUNGWANA NI VITENDO
18/01/2025

HAJA YA MJA HUNENA MUUNGWANA NI VITENDO

SHUKRANI:Kwa niaba ya wafanyakazi wote wa HEFOTA Open School, tunawashukuru kwa kuendelea kutuamini k**a chaguo bora kwa...
18/12/2024

SHUKRANI:
Kwa niaba ya wafanyakazi wote wa HEFOTA Open School, tunawashukuru kwa kuendelea kutuamini k**a chaguo bora kwa elimu ya watoto wenu.

MAFANIKIO YA MWAKA 2023:

CHEKECHEA: Tumeanzisha darasa la chekechea mwaka huu, na wanafunzi wake wa kwanza wanatarajiwa kuingia darasa la kwanza mwaka 2024.

UFAULU: Tumepata mafanikio makubwa katika mitihani ya Pre Form One, Form Five, Reseaters, QT, pamoja na masomo ya Kiingereza, Kompyuta, na Tuition kwa shule za msingi na sekondari.

JENGO LA KUDUMU: Tumepata makazi ya kudumu kwa kukodi jengo la CCM lililopo Mbagala/Kilungule.

CHANGAMOTO:

Miaka ya nyuma, changamoto ya ukosefu wa jengo la kudumu ilisababisha shule kuhama mara kwa mara.

MATARAJIO YA MWAKA 2024:

CHEKECHEA: Muhula wa chekechea utahitimishwa rasmi tarehe 20 Desemba 2024.

TUITION: Masomo ya ziada yataendelea bila kufungwa mwaka mzima.

OFA MAALUMU:

Daftari za bure: Wanafunzi waliolipa ada ifikapo tarehe ya kufunguliwa (6 Januari 2025) watapata daftari bila malipo.

Uangalizi wa karibu: Walimu wataendelea kufuatilia maendeleo ya kila mwanafunzi kwa ukaribu.

Adhabu ya kuchelewesha malipo: Faini italipwa kwa ada zinazocheleweshwa kulipwa kwa wakati.

Tunawakaribisha kwa moyo mkunjufu kwa mwaka mpya wa masomo 2025. Ushirikiano wenu unaendelea kuwa msingi wa kuboresha elimu na maisha bora kwa watoto wetu.

HEFOTA OPEN SCHOOL
"Development Situation Needs Pure Education"

HEFOTA OPEN SCHOOLMZAZI/MLEZI WA . . .Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa ushirikiano wako tangu tarehe 02.01.202...
15/12/2024

HEFOTA OPEN SCHOOL
MZAZI/MLEZI WA . . .

Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa ushirikiano wako tangu tarehe 02.01.2024, kuhakikisha mwanao anapata elimu bora ya awali kupitia HEFOTA Daycare English Medium School.

Tarehe 14.12.2024, tulifanya mahafali ya wahitimu, ambapo wahitimu walichangia TSH 20,000/= na wasiohitimu TSH 10,000/=. Tunathamini sana mchango wenu ambao umewezesha kufanikisha mahafali haya, ingawa hayakuhusisha muziki wala MC.

Kwa wale ambao hawakuchangia mahafali, tunawatia moyo kwani tunatambua changamoto za majukumu mengi katika tarehe hizo. Hata hivyo, tunawakumbusha wazazi/malezi wote kuwasiliana na uongozi wa shule ili kulipa ada na kulipia vyeti kwa wahitimu ambao hawakuchangia mahafali.

HEFOTA OPEN SCHOOL
"Development Situation Needs Pure Education"

MAELEKEZO KWA VIKUNDI KUSAJILIWA KISHERIA NA UJASIRIAMALI ILI KUONGEZA KIPATO KWA VIKUNDI TARATINU ZA UANZISHWAJI WA VIK...
12/12/2024

MAELEKEZO KWA VIKUNDI KUSAJILIWA KISHERIA NA UJASIRIAMALI ILI KUONGEZA KIPATO KWA VIKUNDI

TARATINU ZA UANZISHWAJI WA VIKUNDI TANZANIA

MAELEKEZO KWA VIKUNDI KUSAJILIWA KISHERIA NA UJASIRIAMALI ILI KUONGEZA KIPATO KWA VIKUNDI
12/12/2024

MAELEKEZO KWA VIKUNDI KUSAJILIWA KISHERIA NA UJASIRIAMALI ILI KUONGEZA KIPATO KWA VIKUNDI

GUIDELINES TO MEMBERS OF WHATSAPP GROUP HEFOTA OPEN SCHOOL AND EDUCATION MOBILIZATION TO ALL CITIZENS
12/12/2024

GUIDELINES TO MEMBERS OF WHATSAPP GROUP HEFOTA OPEN SCHOOL AND EDUCATION MOBILIZATION TO ALL CITIZENS

Address

Mbagara/Kilungule
Sinza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hefota Open School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Hefota Open School:

Shortcuts

Share

Category