Sasurea_wecare

Sasurea_wecare The early childhood school of all times in Mtwara Town

21/02/2026
30/11/2025
Visiting places for site learning was amazing
10/08/2025

Visiting places for site learning was amazing

SASUREA DAY CARE❣️TUNAPOKEA WATOTO KWA KIPINDI CHOTE CHA MWAKA, KWA HUDUMA YA SIKU MOJA, WIKI,. MWEZI MUHULA NA MWAKA. Z...
08/01/2025

SASUREA DAY CARE❣️
TUNAPOKEA WATOTO KWA KIPINDI CHOTE CHA MWAKA, KWA HUDUMA YA SIKU MOJA, WIKI,. MWEZI MUHULA NA MWAKA. ZIMA .KARIBUNI SANA.
❣️❣️❣️❣️ Mazingira ya shule ya awali kwa mtoto wako ni muhimu sana kuwa rafiki na yenye mvuto kwa mtoto❣️❣️❣️❣️❣️💕, hii inamsaidia mtoto KUPENDA na kufurahia mazingira yake ya kwanza katika elimu yake mbali na nyumbani. 🌹Hatua yake ya kwanza kuwa katika kusanyiko la watoto wenzie kwa siku nzima chini ya UANGALIZI wa watu wengine tofauti na mama yake.🌹 Sasurea day care tumejali na kuzingatia hitaji la Mtoto wako
❣️Hujachelewa tunapokea watoto kuanzia,( miezi 6 kwa mahitaji maalumu au dharura ). mwaka mmoja na nusu mpaka mitano kipindi chote cha mwaka.🌺🌺🌺🌺🌺 TUPO shangani, Mtwara mjini, Tuna walezi mahiri na wenye upendo. 0759966830,0677886345

My friend indeed
14/12/2024

My friend indeed

Sasureq pre and primary school tunawakaribisha kwaajili ya usajali wa wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2025,mazingira mazur...
27/10/2024

Sasureq pre and primary school tunawakaribisha kwaajili ya usajali wa wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2025,
mazingira mazuri
waalimi mahiri ,
karibuni sana
Tupo Mtwara Manispaa,Mtawanya area

Happy learning
21/09/2024

Happy learning

*SASUREA DAY CARE, PRE AND PRIMARY SCHOOL NAMBA YA USAJILI.               " ME 20658'* Usajili wa wanafunzi jwa mwaka 20...
20/09/2024

*SASUREA DAY CARE, PRE AND PRIMARY SCHOOL NAMBA YA USAJILI. " ME 20658'*
Usajili wa wanafunzi jwa mwaka 2025 unaendelea.

Tupo Mtawanya mtaa wa Hospital for pre and primary.

Tupo Shangani mtaa wa Senegal for day care.

Sasa tunapokea wanafunzi wa madarasa yafuatayo.
1.Daycare mwaka mmoja na miezi sita.
2.awali miaka 4 mpaka 5.

3.darala la kwanza
4.darasa la pili na la tatu na la nne wahamiaji.

✨Mazingira salama kwa mtoto wako
✨WAALIMU MAHIRI
💥Ada nafuu sana.

Kwa darasa la awali na la kwanza tunapokea watoto wote hata k**a hajasoma mchepuo wa kiingereza alikotoka.

KARIBUNI SANA SANA SASUREA
Kwa mawasiliano ,

SIMU 0759966830
0781729925
0718924390

Sweet moment
13/09/2024

Sweet moment

Address

Shangani
Shangani

Telephone

+255759966830

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sasurea_wecare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Sasurea_wecare:

Shortcuts

Share

Category