Same school of nursing

Same school of nursing For more information contact the administrator by sending a DM message to our page or contacting us

Muhimu, tafadhali tupitie joining instructions hii pamoja na maelekezo ya namna ya kuipata. Angalizo msitumie joining in...
26/09/2025

Muhimu, tafadhali tupitie joining instructions hii pamoja na maelekezo ya namna ya kuipata.
Angalizo msitumie joining instructions ya mwaka 2020. Asanteni

💥Uongozi wa chuo unapenda kutoa pongezi kwa wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na chuo chetu kwa mwaka wa masomo 202...
21/08/2025

💥Uongozi wa chuo unapenda kutoa pongezi kwa wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na chuo chetu kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Chuo kitafunguliwa tarehe 03/11/2025.
🔥Kwa msaada zaidi tutumie ujumbe mfupi kwenye inbox yetu.
🔥 Kupata joining instructions kamili bonyeza kiunganisho (link) hii ili kuipakua (download)
https://drive.google.com/file/d/1DEWbQguZRXt9od8Acjp45IOgb3uZ_KLd/view?usp=drivesdk

📸
19/07/2025

📸

Mapema leo kulikua na mahafali ya 1  ya kuwaaga wanafunzi wetu. Mahafali haya ni ya kipekee kabisa, kwani ndio mahafali ...
17/07/2025

Mapema leo kulikua na mahafali ya 1 ya kuwaaga wanafunzi wetu.
Mahafali haya ni ya kipekee kabisa, kwani ndio mahafali ya kwanza tangu kuanzishwa kwa diploma (level 6) Mahafali haya yalifanyika katika ukumbi wa chuo cha Same (Rweyemamu hall)

📸 matukio yaliojiri leo

💥Uongozi wa chuo unapenda kutoa pongezi kwa wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na chuo chetu kwa mwaka wa masomo 202...
27/07/2024

💥Uongozi wa chuo unapenda kutoa pongezi kwa wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na chuo chetu kwa mwaka wa masomo 2024/2025. Chuo kitafunguliwa tarehe 07/10/2024.
🔥Kwa msaada zaidi tutumie ujumbe mfupi kwenye inbox yetu.
🔥 Kupata joining instructions kamili bonyeza kiunganisho (link) hii ili kuipakua (download)
https://drive.google.com/file/d/1te6wxFUvJrZ3XICQqCrFCDdIH3n3tT65/view?usp=drivesdk

💥Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma kuwa Udahili wa wan...
28/05/2024

💥Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma kuwa Udahili wa wanafunzi kwa Ngazi ya Astashahada na Stashahada kwa kozi/programu zote zinazotolewa na Vyuo mbalimbali umefunguliwa rasmi hapo jana
💥Hivyo mwombaji anapaswa kuingia kwenye wavuti ya NACTE na kubonyeza kiungo kilicho andikwa "maombi udahili wa afya 2024" kisha fuata maelekezo.
NYOTE MNAKARIBISHWA KUJIUNGA NA CHUO CHETU
💥Aidha, maombi ya kozi za Afya na Sayansi Shirikishi - Tanzania Bara, yatafanyika
kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (Central Admission System – CAS)
unaopatikana katika tovuti ya Baraza (www.nactvet.go.tz) kuanzia tarehe 27 Mei
hadi tarehe 30 Juni, 2024 kwa awamu ya kwanza.

Uongozi wa Chuo cha Same school of nursing  unapenda kutoa pongezi kwa ALUMNI wa Same NTC.Jana tarehe 23/02/2024 baraza ...
24/02/2024

Uongozi wa Chuo cha Same school of nursing unapenda kutoa pongezi kwa ALUMNI wa Same NTC.

Jana tarehe 23/02/2024 baraza la TNMC lilimefanya mahafali yake ya 10 ya kuwaapisha na kuwatunuku wahitimu wote leseni kwa wale waliofaulu mitihani.

Pichani moja wahitimu wa chuo Same ambao walihudhuria sherehe ya kutunukiwa leseni pamoja na kuapishwa kiapo cha maadili ya uuguzi na ukunga mapema jana jijini Dodoma.

Zab 20:1 Bwana akukumbuke siku ya dhiki Mungu wa yakobo akumbuke sadaka zako zote
27/09/2023

Zab 20:1 Bwana akukumbuke siku ya dhiki Mungu wa yakobo akumbuke sadaka zako zote

Picha za mahafali....Frame no 1- 6 wahitimu wakiwa maeneo tofauti tofauti wakati ya tukio la leo Picha namba 7-8 meza ku...
03/08/2023

Picha za mahafali....
Frame no 1- 6 wahitimu wakiwa maeneo tofauti tofauti wakati ya tukio la leo
Picha namba 7-8 meza kuu.

Frame 1 ni mkuu wa chuo cha Same Madam Fredina Rweyemamu, frame 2 Ni mkuu wa chuo pamoja na Madam Aramika Mangi mapema l...
03/08/2023

Frame 1 ni mkuu wa chuo cha Same Madam Fredina Rweyemamu, frame 2 Ni mkuu wa chuo pamoja na Madam Aramika Mangi mapema leo wakiwa na furaha ya kusherehekea mahafali ya 22 ya Chuo cha Uuguzi na ukunga Same

Mapema leo kulikua na mahafali ya 22 ya kuwaaga wanafunzi wetu. Mahafali haya yalifanyika katika ukumbi wa chuo cha Same...
03/08/2023

Mapema leo kulikua na mahafali ya 22 ya kuwaaga wanafunzi wetu. Mahafali haya yalifanyika katika ukumbi wa chuo cha Same na mgeni rasmi alikua Mheshimiwa Kasilda Jeremia Mgeni, Mkuu wa wilaya ya Same.

Address

P. O. Box 103 Same
Same

Opening Hours

Monday 08:00 - 15:00
Tuesday 08:00 - 15:00
Wednesday 08:00 - 15:00
Thursday 08:00 - 15:00
Friday 08:00 - 15:00

Telephone

+255734738400

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Same school of nursing posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category