28/09/2024
"N. MANJI'S MATHEMATICS & TUITION CENTRE"
Tunafundisha
■Basic Mathematics
■Advanced/Pure Mathematics
■Physics ■Chemistry
■Biology ■Economics ■Geography
Katika level zote za sekondari (O'level & A'level); Resiters/Repeaters; QT
Huduma nyinginezo ni pamoja na:
1. Serial examination (SERIES)
2. Weakly tests ( Every Friday morning)
3. Solving past papers (Every Thursday. Also at the end of a given topic)
_________________________________________
Sheria zinazotuongoza:
🎓Mwalimu haruhusiwi kufundisha zaidi ya masomo mawili aliyoyasomea chuoni (A teacher isn't allowed to teach more than two subjects apart he/she studied at university or college)
🤝usawa wa kijinsia (gender balance) Kuimarisha Haki sawa kwa wanafunzi wote. Each student is treated equally.
🚮/🚰Safe environment around the campus (Classes; Toilets; bathrooms and other grounds)-Healthcare and good conducive learning environment is our priority
👨👩👧👦uhusiano rafiki kati ya mwalimu na mwanafunzi kumuwezesha mwanafunzi kujiamini katika kuuliza swali pale atakapokuwa hajaelewa awapo darasani au nje ya darasa (Good student-teacher relationship-students must be free to express/to ask a question where necessary)
📄Mwalimu kufundisha kwa kuzingatia mtahala wa somo husika (New syllabus (curruculum)-2023 by TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION (TIE))
________________________________________
Pre-form one and form one sessions ni hizi hapa:
🔊Morning speeches (everyday)
🔊Oral Debates (Every Friday-Evening)
🗣Oral Dialogue (Every Monday-evening)
Program zote ni katika English-kujiamini na KUJIELEZA kwa ufasaha mbele za watu
_________________________________________
Kwa wale wa Pure/Advanced Mathematics; Physics; Chemistry; series zinaendelea kila likizo na unafanyiwa usahihi bure kabisa (0% of price) na wale wa tuition za maswali, usahihi pia ni bure.
Tuelewane kidogo hapa: kuna mtu anakuja kusoma na wakati huo anahitaji na series lakini kuna mwingine kamaliza topic zote anakuja tu kupata "challenges" za maswali kujiweka sawa Katika mtihani wake wa mwisho.
_________________________________________
Ndugu mzazi/Mlezi: mlete mwanao N. MANJI'S MATHEMATICS & TUITION CENTRE kujiandaa vyema na mitihani kwa ufaulu wenye tija. Tunakuhaidi hatutokuangusha na hutojutia kukifahamu kituo hiki. Huduma zetu ni za uhakika na hakuna propaganda katika hili
RESITERS/QT umekwama wapi ndugu yangu. Fika sasa N. MANJI'S MATHEMATICS & TUITION CENTRE ukamilishe malengo yako. Usisite kufika au kuwasiliana nasi. Usiwe na hofu yoyote ile; we are here to shine your dreams. Welcome boy/girl.
Njoo tuongee lugha moja hatuwzi kushindwana. Welcome ladies and gentlemen. We go parallel with your dreams
________________________________________
Gharama zetu ni nafuu sana. Pia kwa wale wa "practical" yaani Sayansi kwa vitendo gharama zimepunguzwa ni za kizalendo kabisa
NYOTE MNAKARIBISHWA SANA!
N. MANJI'S MATHEMATICS & TUITION CENTRE: a road to pass examinations!