Tandabui Institute

Tandabui Institute πŸŽ“ Tandabui Institute | Home of Champions | Accredited Programs | Online & Campus Learning | Mwanza πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

16/03/2026

Karibu Tandabui

14/03/2026

Fungua Milango ya Ubunifu na Ajira! πŸ“ΈπŸ’»

Je, una ndoto ya kufanya kazi kwenye vyombo vya habari, utengenezaji wa video, picha au mitandao ya kijamii?
Sasa una nafasi ya kujifunza taaluma hiyo kupitia kozi ya Media Technology inayotolewa na Chuo cha Tandabui Polytechnic.

πŸ“š Utakachojifunza katika kozi hii:
β€’ Upigaji na uhariri wa video πŸŽ₯
β€’ Upigaji picha na Photo Editing πŸ“·
β€’ Graphic Design na utengenezaji wa matangazo 🎨
β€’ Matumizi ya mitandao ya kijamii katika biashara πŸ“±
β€’ Uzalishaji wa vipindi vya redio na televisheni πŸ“»πŸ“Ί
β€’ Teknolojia za kisasa za media na mawasiliano

🌟 Fursa za Ajira baada ya kuhitimu:
βœ”οΈ Video Editor
βœ”οΈ Mpiga picha (Photographer)
βœ”οΈ Graphic Designer
βœ”οΈ Social Media Manager
βœ”οΈ Mtayarishaji wa vipindi vya TV/Radio
βœ”οΈ Content Creator / YouTuber
βœ”οΈ Kujiajiri katika tasnia ya media

πŸ’‘ Kozi hii inakupa ujuzi wa vitendo (practical skills) unaohitajika sana katika soko la ajira la sasa.

πŸ“ Jiunge sasa na Chuo cha Tandabui Polytechnic ujenge taaluma yako katika ulimwengu wa media na teknolojia.

πŸ“ž Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na usajili.

Jifunze Utaalamu wa Afya ya Kinywa katika Chuo cha Tandabui Polytechnics!Katika Tandabui Polytechnics, wanafunzi wanapat...
12/03/2026

Jifunze Utaalamu wa Afya ya Kinywa katika Chuo cha Tandabui Polytechnics!

Katika Tandabui Polytechnics, wanafunzi wanapata mafunzo ya vitendo na ya kisasa yanayowawezesha kuwa wataalamu bora katika sekta ya afya. Kupitia vifaa vya kisasa na walimu wenye uzoefu, wanafunzi wetu hujifunza kwa njia ya vitendo ili kuongeza ujuzi na kujiandaa kwa soko la ajira.

πŸ“š Kozi zetu zinazingatia:
βœ”οΈ Mafunzo ya vitendo (practical training)
βœ”οΈ Matumizi ya vifaa vya kisasa vya kitabibu
βœ”οΈ Ujuzi unaohitajika katika sekta ya afya
βœ”οΈ Maandalizi bora ya ajira na kujiajiri

Jiunge nasi leo katika Tandabui Polytechnics na ujenge mustakabali wako katika taaluma ya afya!

πŸ“ž Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi kuhusu usajili na kozi zinazotolewa.

11/03/2026

Anza leo champion

❀️ Did you know?Your heart beats about 100,000 times every single day to keep blood flowing throughout your body. That’s...
10/03/2026

❀️ Did you know?

Your heart beats about 100,000 times every single day to keep blood flowing throughout your body. That’s over 35 million beats a year working nonstop to keep you alive and active!

Take care of your heart:
πŸ₯— Eat healthy
πŸƒ Stay active
🚭 Avoid smoking
😴 Get enough rest

At Tandabui Polytechnic Institute, we believe knowledge is the first step toward a healthier life.

09/03/2026
Heri ya Siku ya Wanawake Duniani! Leo tunasherehekea nguvu, ujasiri, na mchango mkubwa wa wanawake katika familia, jamii...
08/03/2026

Heri ya Siku ya Wanawake Duniani!

Leo tunasherehekea nguvu, ujasiri, na mchango mkubwa wa wanawake katika familia, jamii, na dunia kwa ujumla. Wanawake ni nguzo ya maendeleo wanalea, wanaongoza, wanafundisha, na wanabadilisha maisha kila siku.

Tuchukue muda leo kuwathamini wanawake wote: mama, dada, wake, marafiki, na viongozi wetu. Pia tuendelee kupigania usawa wa fursa, heshima, na haki kwa kila mwanamke.

Mwanamke akipewa nafasi, jamii nzima hunufaika.

07/03/2026

Jiunge na Kozi ya Laboratory Assistant katika Taasisi ya Tandabui!Je, unatamani kufanya kazi kwenye maabara za hospitali, vituo vya afya au taasisi za utafiti? Sasa una nafasi ya kujenga taaluma yako kupitia kozi ya Laboratory Assistant inayotolewa na Tandabui Institute.Kozi hii imeundwa kukupa maarifa na ujuzi wa vitendo kuhusu matumizi ya vifaa vya maabara, ukusanyaji wa sampuli, na kusaidia katika uchunguzi wa magonjwa.πŸŽ“ Faida za kusoma kozi hii:βœ… Kujifunza kwa vitendo ndani ya maabaraβœ… Walimu wenye uzoefu katika sekta ya afyaβœ… Kozi inayotambuliwa na taasisi husikaβœ… Fursa ya kuendelea na masomo ya juu katika taaluma za afyaπŸ’Ό Fursa za Ajira:Baada ya kuhitimu unaweza kufanya kazi katika:β€’ Hospitali na vituo vya afyaβ€’ Maabara binafsi na za serikaliβ€’ Taasisi za utafiti wa afyaβ€’ Mashirika ya afya ya jamiiChukua hatua leo na anza safari yako ya kuwa mtaalamu wa maabara.πŸ“ž Wasiliana na Tandabui Institute kwa maelezo zaidi kuhusu usajili na udahili.

06/03/2026

Don't wait until the perfect time, use this time to become perfect.

πŸŽ“ UDHAMINI WA NDOTO ZAKO UNAANZA SASA! Tandabui Polytechnic Institute imetangaza rasmi kuwa UDAHILI SASA UPO WAZI kwa Ma...
05/03/2026

πŸŽ“ UDHAMINI WA NDOTO ZAKO UNAANZA SASA!

Tandabui Polytechnic Institute imetangaza rasmi kuwa UDAHILI SASA UPO WAZI kwa March Intake!

Je, uko tayari kuchukua hatua kuelekea mafanikio ya taaluma na ajira? Huu ndio wakati wako! πŸš€

βœ… Mafunzo yenye ubora na vitendo
βœ… Mazingira rafiki ya kujifunza
βœ… Hostel Bure kwa wanafunzi
βœ… Wahitimu wenye ushindani katika soko la ajira

πŸ“ Omba leo kupitia:
🌐 tandabuiinstitute.ac.tz

πŸ“ž Wasiliana nasi:
+255 (0) 677 020 205
+255 (0) 677 020 206

Usikose nafasi hii ya kipekee ya kujiendeleza kitaaluma.

Jiunge na Tandabui Polytechnic Institute Mahali Ndoto Zako Zinapotimia!

04/03/2026

Anza Safari ya Mafanikio na Tandabui Polytechnic Institute!

Zifahamu kozi zetu za MIKOPO ngazi ya Diploma katika fani za afya ikiwemo
Health Records,
Physiotherapy,
Clinical Dentist,
Medical Laboratory na
Diagnostic Radiography.

πŸ“šπŸ₯ Hostel ni bure!

πŸ‘‰ Jiunge nasi leo na jenga mustakabali wako katika sekta ya afya.
πŸ“ž Wasiliana nasi au tembelea tovuti yetu kwa maelezo zaidi.

02/03/2026

JIUNGE NA KOZI YA SOCIAL WORK (USTAWI WA JAMII)

Tandabui Polytechnic inatangaza rasmi kuanza kwa udahili wa Kozi ya Social Work (Ustawi wa Jamii) kwa mwaka wa masomo unaokuja.

πŸ“š KUHUSU KOZI

Kozi ya Social Work inalenga kumwandaa mwanafunzi kuwa mtaalamu wa kushughulikia changamoto za kijamii k**a vile:
β€’ Malezi na ulinzi wa watoto
β€’ Kupambana na ukatili wa kijinsia
β€’ Ushauri nasaha (counselling)
β€’ Huduma kwa wazee na watu wenye mahitaji maalum
β€’ Maendeleo ya jamii

Wanafunzi watapata mafunzo ya nadharia na vitendo (field practical training) ili kuwajengea uwezo wa kufanya kazi moja kwa moja na jamii.

βΈ»

🎯 SIFA ZA MWOMBAJI
β€’ Awe amehitimu kidato cha nne (Form IV) au zaidi
β€’ Awe na ari ya kusaidia jamii
β€’ Awe tayari kufanya kazi katika mazingira ya kijamii

βΈ»

πŸ’Ό FURSA ZA AJIRA

Wahitimu wa Social Work wanaweza kufanya kazi katika:
β€’ Mashirika ya Serikali na Mitaa
β€’ Hospitali na vituo vya afya
β€’ Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs)
β€’ Mashirika ya kimataifa
β€’ Miradi ya maendeleo ya jamii
β€’ Kujiajiri k**a mshauri wa masuala ya kijamii

Kozi hii inafungua milango ya ajira ndani na nje ya nchi kutokana na uhitaji mkubwa wa wataalamu wa ustawi wa jamii.

βΈ»

🏫 KWANINI UCHAGUE TANDABUI POLYTECHNIC?
β€’ Walimu wenye uzoefu na taaluma
β€’ Mazingira rafiki ya kujifunzia
β€’ Mafunzo kwa vitendo yanayotambuliwa
β€’ Ada nafuu na mfumo rahisi wa malipo

βΈ»

πŸ“Œ USAJILI UNAENDELEA SASA!
Nafasi ni chache wahi mapema kujihakikishia nafasi yako.

Kwa mawasiliano na maombi ya kujiunga, tembelea ofisi za chuo au wasiliana nasi kupitia namba rasmi za chuo.

TANDABUI POLYTECHNIC – ELIMU YA UJUZI KWA MAENDELEO YA JAMII.

Address

P. O BOX 1719
Nyakato

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00
Saturday 09:00 - 12:30

Telephone

+255768457417

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tandabui Institute posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Tandabui Institute:

Share

The Home Of Champions

TANDABUI Institute of Health Sciences & Technology (TIHEST), We are one of the top best and leading health and social science Institute in Tanzania the institute is located in Mwanza City. We are serious in our endeavor to produce the champion in you.

We are people of focus, committed to challenge the conventional and ourselves. We view you not as you are now but what you could be. And we strive to nurture your dream and get you there.

We are driven to meet health challenges

Student success to us is not only a program but a pledge. We pledge to help you graduate with the support of leaning communities, mentors, well thought plan and a deeply engaged experience of learning.