Mchungaji Mwema Secondary School

Mchungaji Mwema Secondary School Welcome for Secondary Education: Ordinary & Advanced Level

15/04/2025

Mchungaji Mwema sec school

28/11/2023
14/11/2023

All the best in your exams

Karibu masomo kidato cha Kwanza 2022, nafasi za kuhamia zipo kidato cha II, III, IV na kidato cha 5 (HKL, HGK, HGL & CBG...
04/02/2022

Karibu masomo kidato cha Kwanza 2022, nafasi za kuhamia zipo kidato cha II, III, IV na kidato cha 5 (HKL, HGK, HGL & CBG). UHAMISHO NI RAHIS SANA KWA SASA. Wasiliana nasi kupitia 0757144527

Habari kutoka NECTA kuhusu usajili wa watahiniwa. Karibu kwa masomo Kidato cha Kwanza 2022 Shule ya Sekondari Mchungaji ...
03/01/2022

Habari kutoka NECTA kuhusu usajili wa watahiniwa.

Karibu kwa masomo Kidato cha Kwanza 2022 Shule ya Sekondari Mchungaji Mwema. Nafasi za kuhamia zipo kidato cha II, III, IV na Kidato cha 5 (HKL, HGK, HGL na CBG). Wasiliana nasi kupitia 0757144527 au bonyeza sehemu ya SEND MESSAGE hapo πŸ‘‡ πŸ‘‡

Heri ya Mwaka Mpya 2022! Uwe mwaka wa mafanikio makubwa katika kutimiza malengo yako yaliyo mema.Karibu kwa masomo Kidat...
01/01/2022

Heri ya Mwaka Mpya 2022! Uwe mwaka wa mafanikio makubwa katika kutimiza malengo yako yaliyo mema.
Karibu kwa masomo Kidato cha Kwanza 2022. Nafasi za kuhamia zipo kidato cha II, III, IV na Kidato cha 5 (HKL, HGK, HGL na CBG). Wasiliana nasi kupitia 0757144527 au bonyeza sehemu ya message hapo. Shule unafunguliwa tarehe 10 Januari 2022. Karibu!

Msamiati Kutoka BAKITA.Unaweza kutunga sentensi moja kwa kila msamiati?. πŸ˜€
29/12/2021

Msamiati Kutoka BAKITA.
Unaweza kutunga sentensi moja kwa kila msamiati?. πŸ˜€

Picha mbalimbali za MABWENI YA KISASA ya Shule ya Sekondari Mchungaji Mwema. Yote ni SELF yakiwa na vyoo na mabafu ndani...
28/12/2021

Picha mbalimbali za MABWENI YA KISASA ya Shule ya Sekondari Mchungaji Mwema. Yote ni SELF yakiwa na vyoo na mabafu ndani ili kurahisisha huduma hasa wakati wa usiku.

Karibu kwa masomo Kidato cha Kwanza 2022, nafasi za kuhamia zipo kidato cha II, III, IV na Kidato cha 5 (HKL, HGK, HGL & CBG). Wasiliana nasi kupitia 0757144527 au bonyeza sehemu ya message hapo πŸ‘‡πŸ‘‡

Kutoka ukurasa wa MWANANCHI. Wewe ulikijua hiki KISENGERETUA? Wakati mwingine Kiingereza ni rahis kuliko Kiswahili. Kifa...
19/12/2021

Kutoka ukurasa wa MWANANCHI. Wewe ulikijua hiki KISENGERETUA?

Wakati mwingine Kiingereza ni rahis kuliko Kiswahili. Kifaa hiki kinaitwaje kwa lugha ya Kiingereza?. πŸ˜€ πŸ˜€

Kutoka Wizara ya Afya.
18/12/2021

Kutoka Wizara ya Afya.

Address

P. O. BOX 08
Ngara
35701

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mchungaji Mwema Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Mchungaji Mwema Secondary School:

Shortcuts

Share

Category