Murgwanza Institute of Health & Allied Sciences

Murgwanza Institute of Health & Allied Sciences We are owned by Anglican Church Kagera, we offer Nursing , pharmaceutical and social works studies

Hospitali Teule ya Murgwanza inawakaribisha Wote wenye changamoto kwenye mfumo wa pua, maskio na koo kwenye huduma za uc...
16/09/2025

Hospitali Teule ya Murgwanza inawakaribisha Wote wenye changamoto kwenye mfumo wa pua, maskio na koo kwenye huduma za uchunguzi na matibabu.

Wahi nafasi mapema kozi za1. Clinical medicine2. Nursing and midwifery 3. Pharmaceutical sciences 4. Social work.Chuo ki...
27/05/2025

Wahi nafasi mapema kozi za
1. Clinical medicine
2. Nursing and midwifery
3. Pharmaceutical sciences
4. Social work.

Chuo kinapatikana Ngara mkoa wa kagera

Dirisha la udahili kwa kozi za afya lipo wazi .Karibu ujiunge na chuo cha afya na Sayansi shirikishi Murgwanza kinachopa...
23/05/2025

Dirisha la udahili kwa kozi za afya lipo wazi .
Karibu ujiunge na chuo cha afya na Sayansi shirikishi Murgwanza kinachopatikana wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera .
Chuo kina Mazingira mazuri ya kujifunzia ikiwemo Hospitali bora ya Murgwanza .
Ada zetu ni nafuu na hulipwa kwa awamu nne .
Karibuni kuwahi nafasi mapema

Nafasi za kuhamia zipo .Wahi mapema .Hamia kozi za1. Clinical medicine 2. Nursing3. Pharmacy
09/04/2025

Nafasi za kuhamia zipo .
Wahi mapema .
Hamia kozi za
1. Clinical medicine
2. Nursing
3. Pharmacy

Sisi ni MURIHAS . Tunatoa mafunzo kwenye kozi za 1. Uuguzi na ukunga 2. Famansia3. Ustawi wa jamii4. Utabibu Karibuni Mu...
04/11/2024

Sisi ni MURIHAS .
Tunatoa mafunzo kwenye kozi za
1. Uuguzi na ukunga
2. Famansia
3. Ustawi wa jamii
4. Utabibu
Karibuni Murgwanza institute of health and allied sciences

Picha ya sehemu ya wanachuo wa chuo cha afya na sayansi shirikishi Murgwanza wakiwa pamoja na Mkuu wa wilaya ya Ngara Mh...
20/10/2024

Picha ya sehemu ya wanachuo wa chuo cha afya na sayansi shirikishi Murgwanza wakiwa pamoja na Mkuu wa wilaya ya Ngara Mhe , Kanali Kahabi baada ya mazoezi ya matembezi (jogging) .
Jogging hiyo ilifanyika katika viunga vya Ngara mjini mahususi kwa ajili ya kuimarisha afya , kuhamasisha usafi na kuhamasisha Watanzania kujiandikisha kwenye daftali la wapiga kura.

Habari za hivi punde!Chuo cha afya na sayansi shirikishi Murgwanza kimepata kibali cha kutoa kozi ya CLINICAL MEDICINE (...
07/08/2024

Habari za hivi punde!
Chuo cha afya na sayansi shirikishi Murgwanza kimepata kibali cha kutoa kozi ya CLINICAL MEDICINE (Utabibu/Uganga)
Chuo kipo Mkoa wa Kagera wilaya ya Ngara .
Tunatoa mafunzo kwenye kozi zifuatazo,
➡️Ordinary diploma in clinical medicine
➡️Ordinary diploma in nursing and midwifery
➡️Ordinary diploma in pharmaceutical sciences
➡️Ordinary diploma in social work.
Ada zetu ni nafuu sana na hulipwa kwa awamu nne .chakula, hostels na bima ya afya vinatolewa na chuo.
Karibuni sana

Tunapenda kuwatangazia kuwa tumeongeza kozi mpya ya clinical medicine -Co( Utabibu) kwa ngazi ya diploma.Njo usome nasi ...
07/08/2024

Tunapenda kuwatangazia kuwa tumeongeza kozi mpya ya clinical medicine -Co( Utabibu) kwa ngazi ya diploma.
Njo usome nasi kozi za ,
➡️Ordinary diploma in clinical medicine
➡️Ordinary diploma in pharmaceutical sciences
➡️Ordinary diploma in nursing and midwifery
➡️Ordinary diploma in social work.

Ada zetu ni nafuu sana ,Malazi (Hostels),chakula na bima ya afya vinatolewa na chuo. Chuo kina Maabara bora za mazoezi ya vitendo, pia tuna hospitali yenye huduma za kibingwa kwa ajili ya vitendo.
Tupigie simu 0625484381 Kwa maelezo zaidi.

Karibuni sana nafasi bado zipo
02/08/2024

Karibuni sana nafasi bado zipo

Karibuni sana .Nafasi kwenye kozi za afya na ustawi wa jamii bado zipo ..Karibu tukusajili
31/07/2024

Karibuni sana .
Nafasi kwenye kozi za afya na ustawi wa jamii bado zipo ..
Karibu tukusajili

Happy to have you Mr Matthew ..We and World Mission Group CofE Suffolk are proud for the partnership ..Pharmaceutical sc...
24/07/2024

Happy to have you Mr Matthew ..
We and World Mission Group CofE Suffolk are proud for the partnership ..

Pharmaceutical sciences badoo nafasi zipo . Ada zetu ni nafuu sana

Address

Ngara-Rusumo Road
Ngara

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Murgwanza Institute of Health & Allied Sciences posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category