Elim Ya Akhera

Elim Ya Akhera اطلب العلم ولو بالصين

الحمد لله رب العالمينTunawashukuru wote Ambao wamechangia kwenye hii Madrasa Ambayo imesitishwa masomo yake Kwa Kukosa V...
14/02/2025

الحمد لله رب العالمين
Tunawashukuru wote Ambao wamechangia kwenye hii Madrasa Ambayo imesitishwa masomo yake Kwa Kukosa Vigezo ikiwemo Sehem Ya Kulala Wanafunzi
Bado Tunawaomba Tutoe kwani bado mahitaji ni mengi Allah Atawalipa
AKAUNTI NAMBA YA CRDB
0152000BH7C00_ MADRASA SHAMSIYA

Dini Yetu iende Mbele                                                             Hii Ni madrasa Ambayo imesitishwa maso...
24/01/2025

Dini Yetu iende Mbele Hii Ni madrasa Ambayo imesitishwa masomo yake Kwa wanafunzi wa bweni Kwa Kukosa Vigezo ikiwemo Sehem Ya Kulala Wanafunzi
Kwa Atakae Guswa Kwa Ajiri Kutoa Msaada. 0620530271

22/12/2024
Nawakumbusha Ndugu Zangu waislamuTufanye ibada kwani ipo siku tutakutana na mola wetu!   ALLAH AZIKUBALI IBADA ZETU     ...
17/01/2023

Nawakumbusha Ndugu Zangu waislamu
Tufanye ibada kwani ipo siku tutakutana na mola wetu!
ALLAH AZIKUBALI IBADA ZETU
AAMIN!

22/11/2020
Karibu ktk group letu la ELIM YA AKHERA wtsp Tuma sms wtsp NO 0713383568   Ni dini tu!Usiache namba hapa
27/07/2020

Karibu ktk group letu la ELIM YA AKHERA wtsp
Tuma sms wtsp
NO 0713383568
Ni dini tu!

Usiache namba hapa

Assalaam alaykum ndug zangu waislamu.tunakumbushan kwa kiasi anachotujaalia Mungu   ni ibada na ni faida kwako   mweny k...
07/04/2020

Assalaam alaykum ndug zangu waislamu.tunakumbushan kwa kiasi anachotujaalia Mungu ni ibada na ni faida kwako mweny kulazimiana na kutaka msamaha Mungu atamjaalia kwa kila zito kupata faraja na kila dhiki matokeo mazuri na atamriziki katika namna asiotarajia. Mungu kwa mazuri ya dunia na akhera

Maisha ni mfano wa super market unazunguka ndani take n unachukua kila ukipendacho katika vitu, lakin kumbuka kwamba kuh...
22/10/2019

Maisha ni mfano wa super market unazunguka ndani take n unachukua kila ukipendacho katika vitu, lakin kumbuka kwamba kuhesabiwa kuko mbele yko n utakujatoa thaman ya kila ulichokichukua.ndugu muislam iogope dunia

Address

Naipanga
Nachingwea

Telephone

+255713383568

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elim Ya Akhera posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share