23/06/2025
KESI YA KUKU KUHARISHA NI TATIZO LA CHAKULA.
Kwa ufupi, tuzingatie ushauri wa wataalamu kuhusu formula za chakula cha kuku. Chakula kikiwa hakina ubora lazima kuku ataharisha...yaani ukiona kuku anaharisha chokaa, brown ujue formula hiyo sio nzuri....
Kuharisha ni tatizo linalompata kuku kwenye firigisi....ukimpa chakula sio bora firigisi ile sehemu inayochuja chakula inapatwa na vidonda ndio maana inasababisha kuharisha.
Jipatie vitabu vya:
1:JIFUNZE KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU.
2:KANUNI ZA UFUGAJI BORA WA KUKU.
3:KULEA VIFARANGA.
4:KUPAMBANA NA MAGONJWA YA KUKU.
5:MWONGOZO WA UFUGAJI BORA WA KUKU.
6:UTENGENEZAJI WA VYAKULA BORA VYA KUKU.
7:MAGONJWA MAKUU YA KUKU, TIBA NA KINGA ZAKE.
8:KITABU CHA UFUGAJI BORA WA KUKU AINA ZOTE.
9:KANUNI ZA UFUGAJI BORA WA KUKU.
10:UTAYARISHAJI NA UJENZI WA BANDA BORA LA KUKU.
Vyote hivi 10 utavipata kwa Tsh.10,000(elfu kumi tu) vitabu vipo katika mfumo wa soft copy/pdf hivyo utatumiwa kwa WhatsApp ama Email yako. Kupata vitabu hivi bonyeza hapo chini WhatsApp 👇🏽
NB:Vitabu vimeandikwa na Madaktari wa mifugo.
🛑Utapata Ofa ya kuungwa kwenye group la WhatsApp mahali ambapo utakutanishwa pamoja na wafugaji wenzio na watalaamu wa Mifugo mbalimbali. Karibu!