Mwanza Baptist Sec School -Mbss

Mwanza Baptist Sec School -Mbss tunatoa elimu bora kwa wote

10/04/2022

🏅 Kocha wa mabingwa wa nchi, Pablo Franco amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa Ligi Kuu mwezi Machi 🙌

10/04/2022
10/04/2022

Kwa pamoja tunasema Amen 🤲🏼 na asante kwa dua na upendo tuliouona kutoka kwa mashabiki wa Simba, 💪🏻

09/04/2022
09/04/2022

PROF. KITILA MKUMBO: BAJETI IELEZE INAVYOSHUGHULIKIA MFUMUKO WA BEI

Mbunge wa Ubungo ameishauri Serikali ipunguze kodi ya Mafuta kuanzia Tsh. 300 hadi Tsh. 400 kwny Tsh. 792 inayotozwa, ili kupunguza mfumuko wa bei ambao unaongeza gharama za Maisha

Soma - https://jamii.app/KitilaMfumuko

09/04/2022

Tunawatakia maadhimisho mema ya kumbukizi ya hayati Abeid Amani Karume.



Address

Ilemela
Mwanza
BOX1474MWANZA

Telephone

+255758910403

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanza Baptist Sec School -Mbss posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Mwanza Baptist Sec School -Mbss:

Shortcuts

Share

Category