Istiqaama Open School

Istiqaama Open School Istiqaama Open School (IOS) ni kituo cha Elimu kilichopo Wilaya ya Ilemela, Jijini Mwanza, Mtaa wa Nyakato Sokoni, Sambamba na Msikiti wa Istiqaama.

Istiqaama Open School (IOS) ni kitengo kimojawapo katika vitengo vitano vya Istiqaama Education Centre (IEC)

Istiqaama Open School ni kituo kinachotoa mafunzo ya sekondari huria na masafa (Open and Distance Education) kwa watu wa jinsia na rika zote. Kituo hiki kipo Eneo la Nyakato Sokoni, Wilaya ya Ilemela, Jijini Mwanza katika Madarasa yaliyopo Sambamba kabisa na Msikiti. Kituo kina Walimu wazo

efu na wenye taaluma Stahihili kabisa kwa kila anayetaka kurudia mitihani yake ya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita, au kufanya mitihani ya QT. Vitengo vingine vilivyo chini ya Istiqaama Education Centre ni:

1. Istiqaama Open School (IOS): Hiki ni kitengo kitakachohusika na Elimu huru na ya masafa yaani Open and Distance Learning. Katika kitengo hiki wanafunzi wanaorudia mitihani ya Kidato cha nne au cha sita watapata fursa nzuri ya kupata mafunzo na baadaye kurudia mitihani hiyo. Pia kitengo hiki kitahusika na wanafunzi ambao hawako katika mfumo rasmi wa elimu ya sekondari, vijana na watu wazima. Kituo vile vile kitatoa masomo ya ziada yaani Tuition kwa Sekondari na shule za msingi.

2. Istiqaama Islamic School (IIS) - Madrassa: Kitengo hiki kitahusika na mafunzo yote yahusuyo dini ya Kiislamu kwa vijana wa Kiislamu na watu wazima wake kwa waume. Kitengo hiki pia kitahusika na uandaaji wa Makala na majarida mbali mbali yahusuyo mafunzo ya Uislamu kwa watu wa rika zote. Kazi ya kutafsiri vitabu mbali mbali vya dini ya Kiislamu vilivyo katika lugha za Kiarabu na Kiingereza kwenda katika lugha ya Kiswahili ambayo ndiyo lugha inayoongewa na watu zaidi ya Milioni Mia Moja na Ishirini wakazi wa Jumuia ya Afrika Mashariki ni jukumu muhimu sana la kitengo hiki.

3. Istiqaama Vocational Training College (IVTC): Hiki ni kitengo cha kutoa mafunzo ya ufundi mbali mbali k**a njia mojawapo ya kuwawezesha vijana kujiajiri na kujishughulisha na ujasiriamali kutokana na mafunzo yatakayokuwa yakitolewa na kitengo hiki. Kwa kuanzia, Ufundi wa umeme majumbani (Domestic Electrical Installation), ufundi wa uchomeleaji na uyeyushaji wa vyuma (Welding and Metal Fabrication), ufundi magari (Motor Vehicle Mechanics), Uhudumu wa Hoteli na Uongozaji Watalii (Hotel and Tourism Management), Ualimu wa Chekechea (Nursery School Teaching), Ufundi Computer na Electronics (Computer Maintenance and Electronics), n.k.

4. Istiqaama Yatima and Youth Foundation (IYYF): Hiki ni kitengo ambacho kinahusika na kuwapatia mafunzo ya aina mbali mbali yakiwemo masomo ya sekondari, ufundi, na ujasiriamali vijana wa k**e na kiume ambao ni mayatima, walemavu, na ambao wazazi wao hawajiwezi kabisa katika kulipa ada za mafunzo hayo. Kitengo hiki ni muhimu sana katika kuleta usawa na uwiano katika jamii hasa katika suala la Elimu na Mafunzo ili vijana waweze kupata mbinu sahihi na thabiti za kukabiliana na maisha. Kitengo kitafanya jitihada mbali mbali kuwashirikisha watu wenye uwezo katika jamii ili kufanikisha malengo yake.

5. Istiqaama College of Management and Technology (ICMT): Hiki ni chuo cha kozi za ngazi ya cheti na diploma katika fani mbali mbali za menejimenti, biashara, na teknolojia.

Karibu Momentum Technologies Kwa matengenezo ya radio, TV, home theatre, subwoofer, power mixer, feni, na vifaa vinginev...
29/02/2024

Karibu Momentum Technologies Kwa matengenezo ya radio, TV, home theatre, subwoofer, power mixer, feni, na vifaa vinginevyo vya umeme.
Ushauri Ni Bure. Pia tunatengeneza Simu na computer za aina zote.
Tunapatikana Mecco jijini Mwanza.
Kwa mawasiliano Simu/whatsapp +255714000016.
KARIBUNI SANA.

Karibu Momentum Tecnologies tukuhudumie kwa masuala yote ya urekebishaji wa vifaa vya umeme na electronics.Sisi ni mabin...
09/08/2023

Karibu Momentum Tecnologies tukuhudumie kwa masuala yote ya urekebishaji wa vifaa vya umeme na electronics.
Sisi ni mabingwa wa kurekebisha TV za aina zote (flat na CRT yaani za chogo), Computers, Printers, Subwoofers n.k.
Tunafunga CCTV cameras na mifumo mingineyo ya ulinzi majumbani na maofisini.

Je unahitaji kumiliki kampuni Tanzania? Je unayo kampuni na bado haijasajiliwa? Je kampuni yako uliisajili kwa mfumo wa ...
08/12/2019

Je unahitaji kumiliki kampuni Tanzania? Je unayo kampuni na bado haijasajiliwa? Je kampuni yako uliisajili kwa mfumo wa zamani wa BRELA na unahitaji kuweka sawa taarifa zako kwa mfumo mpya wa ORS? Je unahitaji kusajili jina la biashara yako?

Suluhisho sahihi na majibu ya maswali yote haya utayapata Momentum Technologies ambao watakusaidia na kukupa ushauri kuhusu mambo yote yanayohusiana na usajili wa kampuni au jina la biashara.

Karibu tukuhudumie, Tunapatikana jijini Mwanza maeneo ya Mecco.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba zifuatazo:

0714 000 016, 0684 200 589.

01/10/2017

Istiqaama Open School (IOS) ni kituo cha Elimu kilichopo Wilaya ya Ilemela, Jijini Mwanza, Mtaa wa Nyakato Sokoni, Sambamba na Msikiti wa Istiqaama.

09/07/2017

ISTIQAAMA OPEN SCHOOL (IOS) ni kituo kinachotoa mafunzo ya sekondari ya miaka miwili na mafunzo maalum kwa wanafunzi wanaohitaji kurudia mitihani ya kidato cha nne na kidato cha sita kwa michepuo yote yaani: science, art, and business (sayansi, sanaa, na biashara)
Kituo kipo eneo la Nyakato Sokoni, Wilaya ya Ilemela, Jijini Mwanza sambamba kabisa na Msikiti wa Nyakato Sokoni.
Kituo kina walimu na wakufunzi wazoefu na waliobobea katika fani ya elimu huria na masafa (Open and Distance Education), waliopata mafunzo kutoka Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE)

Kituo pia kinatoa mafunzo ya ziada (TUITION) kwa wanafunzi wa Sekondari. Kidato cha Kwanza mpaka Kidato cha Sita kwa Michepuo yote (Art, Science, and Business)
Mafunzo haya, yaani TUITION yanatolewa pia kwa wanafunzi wa Shule za Msingi za kawaida (SWAHILI MEDIUM) na za ENGLISH MEDIUM.

Kupitia kitengo cha Istiqaama Vocational Training College (IVTC), mafunzo ya ufundi wa aina mbali mbali yanatolewa. Mafunzo hayo ni ya ufundi wa Umeme majumbani (Domestic Electrical Installation), Ufundi wa Uchomeleaji na Uyeyushaji Vyuma (Welding and Metal Fabrication), Ufundi Magari (Motor Vehicle Mechanics), Uhudumu wa Hotel na Uongozaji Watalii (Hotel and Tourism Management), Ualimu wa Chekechea na Vituo vya Kulelea Watoto (Nursery School Teaching and Day Care Centres), na Ufundi wa Computer na Electronics (Computer Maintenance and Electronics)

Mafunzo Maalum ya Ufahamu wa Lugha za Kiingereza na Kiarabu pia yanatolewa. Kuna Darasa Maalum la Kujifunza Lugha ya Kiingereza cha Kuongea na Kuandika kwa Watu Wazima na Wanafunzi wa Sekondari na Vyuo. Wanafunzi watapangiwa muda wa kuhudhuria darasani kutokana na majukumu waliyonayo na muda ambao hautakuwa kikwazo kwao.

Kituo kipo wazi kuanzia saa MOJA NA NUSU ASUBUHI (07:30 am) mpaka saa MBILI NA NUSU USIKU (08:30 pm)

Kwa maelezo zaidi tembelea Ukurasa wetu wa Facebook www.facebook.com/istiqaamaopenschool au tumia namba za simu zifuatazo:

0687 447 447, 0784 414 212, 0767 414 312, 0767 984 798, na 0714 000 016

NYOTE MNAKARIBISHWA

ISTIQAAMA OPEN SCHOOL, KNOWLEDGE AND SERVICE (MAARIFA NA HUDUMA)

Istiqaama Open School (IOS) ni kituo cha Elimu kilichopo Wilaya ya Ilemela, Jijini Mwanza, Mtaa wa Nyakato Sokoni, Sambamba na Msikiti wa Istiqaama.

08/07/2017

ISTIQAAMA OPEN SCHOOL (IOS) ni kituo kinachotoa mafunzo ya sekondari ya miaka miwili na mafunzo maalum kwa wanafunzi wanaohitaji kurudia mitihani ya kidato cha nne na kidato cha sita kwa michepuo yote yaani: science, art, and business (sayansi, sanaa, na biashara)
Kituo kipo eneo la Nyakato Sokoni, Wilaya ya Ilemela, Jijini Mwanza sambamba kabisa na Msikiti wa Nyakato Sokoni.
Kituo kina walimu na wakufunzi wazoefu na waliobobea katika fani ya elimu huria na masafa (Open and Distance Education), waliopata mafunzo kutoka taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE)
Kituo pia kinatoa mafunzo ya ziada (TUITION) kwa wanafunzi wa Sekondari. Kidato cha Kwanza mpaka Kidato cha Sita kwa Michepuo yote (Art, Science, and Business)
Mafunzo haya, yaani TUITION yanatolewa pia kwa wanafunzi wa Shule za Msingi za kawaida (SWAHILI MEDIUM) na za ENGLISH MEDIUM.
Kupitia kitengo cha Istiqaama Vocational Training College (IVTC), mafunzo ya ufundi wa aina mbali mbali yanatolewa. Mafunzo hayo ni ya ufundi wa Umeme majumbani (Domestic Electrical Installation), Ufundi wa Uchomeleaji na Uyeyushaji Vyuma (Welding and Metal Fabrication), Ufundi Magari (Motor Vehicle Mechanics), Uhudumu wa Hotel na Uongozaji Watalii (Hotel and Tourism Management), Ualimu wa Chekechea na Vituo vya Kulelea Watoto (Nursery School Teaching and Day Care Centres), na Ufundi wa Computer na Electronics (Computer Maintenance and Electronics)
Mafunzo Maalum ya Ufahamu wa Lugha za Kiingereza na Kiarabu pia yanatolewa. Kuna Darasa Maalum la Kujifunza Lugha ya Kiingereza cha Kuongea na Kuandika kwa Watu Wazima na Wanafunzi wa Sekondari na Vyuo. Wanafunzi watapangiwa muda wa kuhudhuria darasani kutokana na majukumu waliyonayo na muda ambao hautakuwa kikwazo kwao.
Kituo kipo wazi kuanzia saa Moja na Nusu ASUBUHI (07:30 am) mpaka saa MBILI USIKU (08:30 pm)
Kwa maelezo zaidi tembelea Ukurasa wetu wa Facebook www.facebook.com/istiqaamaopenschool au tumia namba za simu zifuatazo:
0687 447447, 0784 414 212, 0767 414 312, 0767 984 798, na 0714 000 016
NYOTE MNAKARIBISHWA
ISTIQAAMA OPEN SCHOOL, KNOWLEDGE AND SERVICE (MAARIFA NA HUDUMA)

Istiqaama Open School (IOS) ni kituo cha Elimu kilichopo Wilaya ya Ilemela, Jijini Mwanza, Mtaa wa Nyakato Sokoni, Sambamba na Msikiti wa Istiqaama.

Address

Nyakato
Mwanza

Opening Hours

Monday 07:00 - 20:00
Tuesday 07:00 - 20:00
Wednesday 07:00 - 20:00
Thursday 07:00 - 20:00
Friday 07:00 - 20:00
Saturday 07:00 - 20:00

Telephone

+255714000016

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Istiqaama Open School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Istiqaama Open School:

Shortcuts

Share

Category